Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania mbona nikijaribu kukopa hela MPAWA naanbiwe nikapeleke vitambulisho vyangu ofisi zenu wakati nimeenda mara mbili kujisajili na mpawa, ila mnazingua kunikopesha na kila siku mnanitumia text za kiwango ninichoruhusiwa kukopa cjui tatizo nini, my namba ni 0757915043

Hahaha kaka unataka ukope pesa Hahaha HESLB wanachelewesha mambo mpaka unaona bora ukope M-PAWA
 
Last edited by a moderator:
Good morning Vodacom Tanzania, nataka kujua mnafanya roaming na nchi gani za Afrika mashariki? Ninataka kutembelea Rwanda, Burundi na Uganda hivyo itakuwa busara zaidi nikijua ni wapi niendelee kujidai na Vodacom na ni wapi nikanunue sim card?
 
Last edited by a moderator:
Vodacom pale makao makuu mawakala wakuu na mawakala mnatutesa sana mfano kuna mdogo wangu amepoteza lain ya uwakala akaambiwa na wakala mkuu atafute loss report kopi ya tin leseni ya biashara amejaza form anasubiri kurenew line(swap)mwezi sasssa na hajui itatoka lini kuna dada hapo anayedil nazo ni hovyo kabisa huduma inachelewa sana kabla yake ilikuwa inachukua siku 3 tu,ulizeni mawakala wenu wakuu na mawakala watawaambia ngoja niisshie hapa maana watanzania ukisema watakwambia una wivu wa kike
 
Hawa jamaa kwa kweli wizi wao ni nje nje tena bila aibu!Mm.mwenyewe wameniibia vya kutosha!nimelalamika mpaka nimechoka,nilichofanya ni kuamia G smile na Airtel!Vodacom ni shiida..!wezi sana!
 
Jaman Vodacom, tujbuni basi shida zetu?? Maana mmeweka hi biashara tuseme matatizo yetu.lakin chakushangaza hamtupi majibu ya kurithisha. Tafathalin sana jitahidin. Watu wanaotoa kero zao,inawauma jaman. Acheni hyo mambo
 
Kwakweli voda sasa hivi mnakera. Siku nne mfululizo nimekuwa nikinunua salio kupitia M-Pesa inachukua hadi masaa manne kujibiwa. Acheni uhuni huo
 
Wezi sana hawa. Ukiweka vocha asubuhi huikuti. Ukisubscribe bundle dk. Unatumia sms kuna salio lako la bundle limekwisha. Mdau lole ungewashitaki kbsa wakulipe. hawa wezi wakubwa.
 
Vodacom Tanzania mbona nikijaribu kukopa hela MPAWA naanbiwe nikapeleke vitambulisho vyangu ofisi zenu wakati nimeenda mara mbili kujisajili na mpawa, ila mnazingua kunikopesha na kila siku mnanitumia text za kiwango ninichoruhusiwa kukopa cjui tatizo nini, my namba ni 0757915043

Habari mkuu, tafadhali tunaomba ufuate maelekezo tuliyokupatia. Ahsante
 
Good morning Vodacom Tanzania, nataka kujua mnafanya roaming na nchi gani za Afrika mashariki? Ninataka kutembelea Rwanda, Burundi na Uganda hivyo itakuwa busara zaidi nikijua ni wapi niendelee kujidai na Vodacom na ni wapi nikanunue sim card?

Habari Wisdom, Vodacom Tanzania inafanya huduma ya roaming katika nchi za Afrika Mashariki na nchi nyingine nyingi duniani https://www.vodacom.co.tz/productsa...oaming/roaming_partners/prepaid_voice_and_sms. Ili kuweza kutumia huduma za Vodacom nje ya Tanzania unatakiwa kuondoka nchini na kadi yako ya simu ikiwa imewezeshwa huduma ya roaming. Tafadhali wasiliana nasi kabla hujaondoka ili namba yako iwezeshwe huduma hii.Karibu sana
 
Vodacom pale makao makuu mawakala wakuu na mawakala mnatutesa sana mfano kuna mdogo wangu amepoteza lain ya uwakala akaambiwa na wakala mkuu atafute loss report kopi ya tin leseni ya biashara amejaza form anasubiri kurenew line(swap)mwezi sasssa na hajui itatoka lini kuna dada hapo anayedil nazo ni hovyo kabisa huduma inachelewa sana kabla yake ilikuwa inachukua siku 3 tu,ulizeni mawakala wenu wakuu na mawakala watawaambia ngoja niisshie hapa maana watanzania ukisema watakwambia una wivu wa kike
Habari, hili limekwishachukuliwa hatua na kuna mhudumu mwingine.Poleni sana
 
Jaman Vodacom, tujbuni basi shida zetu?? Maana mmeweka hi biashara tuseme matatizo yetu.lakin chakushangaza hamtupi majibu ya kurithisha. Tafathalin sana jitahidin. Watu wanaotoa kero zao,inawauma jaman. Acheni hyo mambo

Habari fngowi mkuu tunaelewa ni kwa kiasi gani hili linahitaji utatuzi na ndiyo maana tukaomba namba ya mhusika. Katika kutatua tatizo mhusika anapigiwa simu lakini hapokei.
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa kwa kweli wizi wao ni nje nje tena bila aibu!Mm.mwenyewe wameniibia vya kutosha!nimelalamika mpaka nimechoka,nilichofanya ni kuamia G smile na Airtel!Vodacom ni shiida..!wezi sana!

Habari Harold Mputa itakuwa vyema tukafahamishana tatizo limetokea lini kwa msaada zaidi, hakuna pesa ya mteja inayoibwa katika akaunti yake. Ahsante
 
Last edited by a moderator:
Wezi sana hawa. Ukiweka vocha asubuhi huikuti. Ukisubscribe bundle dk. Unatumia sms kuna salio lako la bundle limekwisha. Mdau lole ungewashitaki kbsa wakulipe. hawa wezi wakubwa.
Habari Mjasiriamali1 tungependa uliweke vizuri suala lako tuweze kusaidiana vyema. Lakini endapo unamaanisha salio linapungua ilhali na kifurushi cha Data, SMS na Dakika tafadhali tutumie namba ya simu kwa msaada zaidi. Ahsante
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom