Vodacom Tanzania needs a new CEO

Selwa

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
543
524
Aise me naona huyu MD mpya ni mbovu sana.

Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi?

Au ni mimi mwenyewe? Siku ya leo zimeenda 10GB ndani ya lisaaa sijui zimeishaje nimeenda mpaka vodashop yani hamna msaada, yani siku nikikaa vizuri hii kesi naipeleka mahakamani nina hamu za million 60 za kumfungulia mamaa duka la nguo maana imekuwa kero sana.
 
Back
Top Bottom