Vodacom Tanzania ndio mtandao wenye gharama kubwa Tanzania

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
1,531
1,132
Watanzania wenzangu ninachoandika hapa ni ukweli kabisa, Vodacom gharama zao ni Jipu ,maana si kwenye vifurushi vya data,kupiga simu ,sms au makato ya miamala ya huduma za kifedha, hawa jamaa ni hatari,
Mfano mzuri ni huu,
Airtel kwa Tsh 1000 =GB1
Zantel kwa 1000=GB 1
Tigo kwa Tsh 999=GB 1
Ila Voda Tsh 1000=MB 500
huu MTANDAO una GHARAMA za juu sana hapa nchini na sielewi kwanini !! Mpaka najiuliza
(i)Wanalipa KODI KUBWA kuliko wenzao?
(ii)Wametumwa Pesa?
(iii)Wanajua watanzania wote matajiri ?
(iv)Wanafanya makusudi ?
 
Usitumie nguvu kubwa kutuaminisha ukweli kwani tayari tunajua hawa jamaa niwakutupiliwa mbali.
 
si tetei Vodacom lakini kama unataka kusema wao ni ghali kuliko wengine walau ungepitia huduma zote wanazozitoa mathalani mobile money, voice, etc kama kote huko wapo ghali ndio uje na conclussion hiyo hapo vinginevyo hujawatendea haki Voda na wala hujaitendea haki taaluma yako kama Great thinker
 
Zantel ofisi zao zipo wapi kw mikoa ya moro,mbeya na dodoma maana kila nikienda pamefungwa.vodacom haijawahi kubadili jina ndiyo sababu
 
Watanzania wenzangu ninachoandika hapa ni ukweli kabisa, Vodacom gharama zao ni Jipu ,maana si kwenye vifurushi vya data,kupiga simu ,sms au makato ya miamala ya huduma za kifedha, hawa jamaa ni hatari,
Mfano mzuri ni huu,
Airtel kwa Tsh 1000 =GB1
Zantel kwa 1000=GB 1
Tigo kwa Tsh 999=GB 1
Ila Voda Tsh 1000=MB 500
huu MTANDAO una GHARAMA za juu sana hapa nchini na sielewi kwanini !! Mpaka najiuliza
(i)Wanalipa KODI KUBWA kuliko wenzao?
(ii)Wametumwa Pesa?
(iii)Wanajua watanzania wote matajiri ?
(iv)Wanafanya makusudi ?
Katika hiyo mitandao yote hapo juu upi atleast una intaneti nzuri mkuu?

Nikiangalia report ya TCRA kwa upande wa voice hiki ndicho ninachokiona.
TCRA.PNG
 
si tetei Vodacom lakini kama unataka kusema wao ni ghali kuliko wengine walau ungepitia huduma zote wanazozitoa mathalani mobile money, voice, etc kama kote huko wapo ghali ndio uje na conclussion hiyo hapo vinginevyo hujawatendea haki Voda na wala hujaitendea haki taaluma yako kama Great thinker
Natumia line za mitandao ya Zantel,Airtel,Tigo na Vodacom so nipo makini sana
1466940821032.jpg
 
Attachments

  • 1466940738770.jpg
    1466940738770.jpg
    35 KB · Views: 36
Watanzania wenzangu ninachoandika hapa ni ukweli kabisa, Vodacom gharama zao ni Jipu ,maana si kwenye vifurushi vya data,kupiga simu ,sms au makato ya miamala ya huduma za kifedha, hawa jamaa ni hatari,
Mfano mzuri ni huu,
Airtel kwa Tsh 1000 =GB1
Zantel kwa 1000=GB 1
Tigo kwa Tsh 999=GB 1
Ila Voda Tsh 1000=MB 500
huu MTANDAO una GHARAMA za juu sana hapa nchini na sielewi kwanini !! Mpaka najiuliza
(i)Wanalipa KODI KUBWA kuliko wenzao?
(ii)Wametumwa Pesa?
(iii)Wanajua watanzania wote matajiri ?
(iv)Wanafanya makusudi ?
Tigo ni mb 500. Acha kuwadanganya watu bhana
 
Back
Top Bottom