Vodacom Tanzania itaanza kuuza hisa katika soko la hisa la Dar es Salaam.

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Kampuni ya Vodacom imetangaza mpango wake wa kuuza hisa katika soko la hisa la Dar es Salaam hii ni Fursa kama mtu una sh. 5,000,000 hivi waki issue Initial Public Offer (IPO) nenda kanunue maana zitakua chip na Vodacom imeshaaminika kwa wananchi na sioni kama itashuka kwa miaka ya hivi karibuni.
 
Fursa nzuri sana hiyo, ila hisa ziuzwe kwa bei ambayo itakuwa 'affordable' ili iwe mkombozi hata kwa watu wenye kipato kidogo ambao ndio idadi kubwa ya watanzania.
 
Back
Top Bottom