Vodacom siwaelewi jamani

Moo Click

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
3,496
3,233
Leo saa nane na dakika tisa nimepokea ujumbe kutoka Mpesa wakiniambia ombi langu la Open FI Account limepokelewa nitapewa mrejesho Pindi akaunti husika itakapo funguliwa.

Wana Jf mimi sijajiunga na wala sijaomba chochote kuhusu Mpesa yangu zaidi ya kufanya miamala midogo midogo ya hapa na pale sasa dhumuni la uzi huu ni kutaka kujua hii Open FI Account ndio akainti ya namna gani? na mbona mimi sija request chochote iweje waniambie ombi langu limepokelewa?


Nawasilisha.
2019-10-16%2014.16.24.jpeg
 
Hicho Kidhungu tu mie nahisi kimekuja na upepo wa kisulisuli!!!

Your apply for... Has been processing..when account have been??
 
Back
Top Bottom