VodaCom rekebisheni 3G ya Dodoma, iko slow sana. Mliopo Dodoma mnasemaje kuhusu 3G ya Dodoma?

Kibishi

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
966
1,000
Sijui nina gundu na 3G ya Voda?
Kila simcard ninayotumia, speed yake inanifanya nisonye kila mara. Kila simu nitakayobadilisha ujinga ni uleule, 3G ya voda ipo slow sana huku Dodoma, hata sioni raha ya huu mtandao mkongwe.
Kwa mlio Dodoma, mnakutana na huu u-slow wa 3G wa voda?, au ni mimi tu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom