Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Namungo FC, Kazi Ipo Uwanja wa Taifa

90+3' Bado sekunde chache kumalizika kwa mchezo huu wa VPL

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha ambapo Simba wameweza kuibuka na ushindi wa mabao matatu dhidi ya mawili ya Namungo FC

FT: Simba SC 3-2 Namungo FC

......Ghazwat
 
Offside ya wazi, wawape tu kombe kwa mtindo huu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijaona kabisa offside,labda kama unaongelea kiushabiki zaidi,beki wa Namungo alifanya kosa la kizembe la kumkimbia Kagere badala ya kumdhibiti,hapo ndipo alipobugi kwani kabla mpira haujapigwa Kagere alikuwa mbele yake,lakini ulivyopigwa akataka kucheza offside trick,hapo ndipo alipobugi
 
Twende taratibu mkuu, kwani wakati mpira unapigwa na kichwa yule alisogea mbele? Au alibaki position ile ile? Na hapo hapo wakati mpira unapigwa wa kichwa je kagere alikuwa kazidi au hakuzidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twende taratibu mkuu, kwani wakati mpira unapigwa na kichwa yule alisogea mbele? Au alibaki position ile ile? Na hapo hapo wakati mpira unapigwa wa kichwa je kagere alikuwa kazidi au hakuzidi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Angalia vizuri replay mkuu,kila kitu kipo bayana kabisa hakuna magumashi,labda kama upo kiushabiki zaidi
 
Goooooooooooooooooooaaal
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOAAAL

Dilunga anafumua shuti kali sana na kuhesabu bao la pili na kumuacha golikipa akichumpa bila mafanikio

Simba SC 2-1 Namungo FC
Kwa gharama ya usajili wa simba..hao wa hapahapa..tulitakiwa tuwe tunawapiga goli NNE kuendelea
 
Back
Top Bottom