Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Coastal Union, Soka Kabambe Uwanja wa Taifa

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,261
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Vodacom Premier League VPL kuendelea kutimua vumbi leo February 1, 2020 kusaka alama tatu muhimu, ambapo Vinara wa Ligi Wekundu wa Msimbazi, Mnyama Mkali, Simba SC, kuwakaribisha Wagosi wa Kaya, Coastal Union kutoka Tanga, ambao wapo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi, mchezo utakaopigwa kunako Uwanja wa Taifa.

Patashika ya leo inatarajiwa kuwa ya aina yake huku Wekundu wa Msimbazi wakijivunia rekodi bora dhidi ya Wagosi wa Kaya hasa kumbukumbu ya msimu uliopita, ambapo Simba SC walitembeza kichapo kikali cha bakora 8-1 dhidi ya Coastal Union.

Kocha wa Simba, Sven Vanderbroeck amesema wachezaji wake wamejiandaa vya kutosha kuelekea mchezo huo, huku akikiri mapungufu yanayojitokeza siku za hivi karibuni hasa sehemu ya ulinzi kutokana na kuruhusu mabao mfululizo na kwa kauli hiyo wadau wanasema huenda kukawa na mabadiliko kwenye eneo la ulinzi.

Naye Kocha wa Coastal Juma Mgunda amesema kuwa kwa upande wao wamejiandaa kushinda mchezo wa leo licha ya kwamba mchezo utakuwa mgumu huku akitanabaisha kuwa wao kama Coastal hawaangalii yaliyopita, wanaangalia yaliyo mbele yao.

Je? Mnyama ataendelea kukusanya vitambulisho vya ushindi? Au Mgosi atakataa? dakika 90 kuamua..Soka Kabambe Uwanja wa Taifa kuanzia saa 10: 00 jioni, USIKOSE UKAAMBIWA.

Line Up Itakujia Hivi Punde.....!
IMG_20200201_112709_510.jpeg
IMG_20200201_110103_187.jpeg
 
Line Up Simba SC;

Kakolanya, Shamte, Gadiel, Nyoni, Tairone, Fraga, Chama, Mkude, Kagere, Bocco, Ajibu.

Subs;

Manula, Hussein, Kennedy, Ndemla, Shiboub, Dilunga, Kahata.
 
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Vodacom Premier League VPL kuendelea kutimua vumbi leo February 1, 2020 kusaka alama tatu muhimu, ambapo Vinara wa Ligi Wekundu wa Msimbazi, Mnyama Mkali, Simba SC, kuwakaribisha Wagosi wa Kaya, Coastal Union kutoka Tanga, ambao wapo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi, mchezo utakaopigwa kunako Uwanja wa Taifa.

Patashika ya leo inatarajiwa kuwa ya aina yake huku Wekundu wa Msimbazi wakijivunia rekodi bora dhidi ya Wagosi wa Kaya hasa kumbukumbu ya msimu uliopita, ambapo Simba SC walitembeza kichapo kikali cha bakora 8-1 dhidi ya Coastal Union.

Kocha wa Simba, Sven Vanderbroeck amesema wachezaji wake wamejiandaa vya kutosha kuelekea mchezo huo, huku akikiri mapungufu yanayojitokeza siku za hivi karibuni hasa sehemu ya ulinzi kutokana na kuruhusu mabao mfululizo na kwa kauli hiyo wadau wanasema huenda kukawa na mabadiliko kwenye eneo la ulinzi.

Naye Kocha wa Coastal Juma Mgunda amesema kuwa kwa upande wao wamejiandaa kushinda mchezo wa leo licha ya kwamba mchezo utakuwa mgumu huku akitanabaisha kuwa wao kama Coastal hawaangalii yaliyopita, wanaangalia yaliyo mbele yao.

Je? Mnyama ataendelea kukusanya vitambulisho vya ushindi? Au Mgosi atakataa? dakika 90 kuamua..Soka Kabambe Uwanja wa Taifa kuanzia saa 10: 00 jioni, USIKOSE UKAAMBIWA.

Line Up Itakujia Hivi Punde.....!
View attachment 1343128View attachment 1343129
Leo kocha kapatia kupanga kikosi bocco na Kagere ndani chama na ajibu ndani leo tutashinda si chini ya goal 3
 
. Kila lakher Coastal piga hao Mbeleko bin Hiriz sc.Rushwa sc
 
Timu zipo uwanjani kwa utambulisho pamoja na kupiga picha za kumbukumbu.

Muda mchache mpira utaanza uwanja wa Taifa

Naaaaaaam mpira umeanza dakika 45 za mwanzo za mchezo wa VPL

Simba SC 0-0 Coastal Union
 
01' Goooo laaaaaaaaaa,

Mwamuzi anakataa bao la Kagere kwa madai kabla hajafunga alikuwa ameotea...!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom