Vodacom Premier League (VPL) Azam FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Taifa

Huyu mfungaji alishakuwa offside muda mrefu tu lakini mwamuzi hakuashiria offside kwa kuwa kwa wakati huo alikuwa haingilii mchezo wala hanufaiki kwa kuwapo kwake pale. Alipokuja kumalizia rebound, hapo ndipo aliponufaika na uwepo wake katika offside position, na mwamuzi alikuwa makini anamfuatilia, akafanya uamuzi sahihi wa kukataa goli

1583356690660.png
 
Ongea ukweli tu usilete ushabiki maandaz Simba Bado kisoka ukiachana na mazingira ya mbeleko
Mkuu punguza mapovu uongee kwa hoja.Ukisema Simba bado kisoka unatakiwa uweke reference point. Yawezekana bado kisoka ukilinganisha na Sevilla, sasa ongea kwa hoja, hasira na uoga weka kando kwanza
 
Mtu ambaye anasononeka ni MO licha ya kuwekeza fedha nyingi/Mabilioni bado anahitaji fedha nyingi ili kuhonga waamuzi ili timu ishinde mechi za ligi. Sasa itahitajika atumie fedha nyingi zaidi simba ikishiriki michuano ya Caf ili kuinusuru na vipigo vya goli tanotano.Mashabiki wa Mbumbumbu fc wao leo wanafurahia ushindi wa kutengenezwa hawajui kwenye mashindano ya Caf watalia na kusaga meno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kwa uchungu sana
Pole sana
 
Go
71' Kagereeeeeeee Goooooooooooooooooooaaal Gooaaal

Maddie Kagere anaandika bao la tatu akipata Mpira maridhawa wa krosi kutoka kwa Shomari Kapombeeee

Azam FC 2-3 Simba SC
Goli LA linesmen hilo tumeliona
 
Back
Top Bottom