Vodacom na vocha ya tshs. 450/= mtaani wauzaji vocha wanatunyanyasa

VODACOM mmesharahisishiwa kazi hilo la vocha za 450 lifanyieni kazi haraka.
Kuna ulazima gani kuweka vocha ya 450 ina maana hamkufanya research kuhusu suala la chenji?
TCRA na nyie kazi hiyo mezani msilale kama vile hakuna kazi
 
Mimi naombaa tujikumbushe hesabu za Variation au Logic
  • Kama US Dola 1 unauziwa Tsh 1500 unakubali, je zinafanana?
  • Kama unauziwa change change zenye thamani ya Tsh 900 kwa Tsh 1000(hasa Dar) unakubali, Je zinafanan?
  • Vipi kuhusu pesa zetu kama coin ya sh 20, 10, 5, 1 n.k. si imeandikwa pes halali kwa malipo ya Tsh..., mbona haitumiki japo kuwa hamna mamlaka ya serikali iliyokataza. Juzi nilienda posta kutuma kifurush kwa EMS nikaambiwa gharama ni Tsh 10,680/- nilipolipa Tsh 10,600/- nikaambiwa bado basi niliongeza mia wkaniambia change hamna.
Upuuzi wa serikali kukubali mwanzo wa hesabu yetu kuwa moja huku kukiwa hamna pesa inayoanza na moja. Naomba watangaze kuanzia sasa Tz mwanzo wa hesabu yetu ni 100 ikifuatiwa na 150,200,250,300,350, n.k. Nisisikie 101,102,103.. au 507,508,509,... maana hatuna moja Tz.

Nashauri Tusilaumu Voda bali Serikali.
Kama Voda wangefuata haki ilibidi watuuzie hiyo dola kwa kufuata exchange rate za US dola dhidi ya Tsh. Hawfanyi hivyo hamjalalamika kabisa. Think twice!

TUTUMIE LOGIC
 
Dada mkurugenzi kwenye kampuni, Kaka waziri anayeisimamia hiyo kampuni.
Sijui itakuwaje hapa.
 
Back
Top Bottom