Vodacom na promotion yenu mpya ya 50% mbn haifanyi kazi ss hv??????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodacom na promotion yenu mpya ya 50% mbn haifanyi kazi ss hv???????

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Matope, May 27, 2012.

 1. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ijumaa nilinunua muda wa maongezi wa 30 elfu kwa niaba ya kununua BIS service ya vodacom via M-pesa nikapata bonas ya 50% ambayo ni elf kumi na tano ss cha kushaangaza leo imebaki 9,105 lakini kila nikipiga naambiwa sina salio la kutosha ss sielewi maana bonus ilikuwa mwisho ni trh 27 ss,nimeongea na costtomer care anadai nimeke tu vocha nyingine hana maelezo ya kutosha plz nawakumbusha TCRA kufatilia kwa makini promotion za haya makampuni ya simu!!!!
   
 2. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  bonus inatumika within 2 days only
   
 3. C

  Costantino Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana haja ivo 50% ya 30 elfu ni tsh 15 elfu so bado umeliwa jaribu kuongeza hata jelo pengine wata i wezesha tena!
   
 4. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Vigezo na masharti kuzingatiwa
   
Loading...