Vodacom na m-pesa ni wizi au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodacom na m-pesa ni wizi au?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rayase, Dec 9, 2009.

 1. R

  Rayase Member

  #1
  Dec 9, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  I real appreciate the effort of vodacom Tanzania in different angle. but I start asking my self to which business are they in? OK that's not an issue to think much as far to the best of my knowledge they are in the telecommunication industry.
  Tatizo langu kubwa ni jinsi walivyoingia kwenye huduma za kibenki. kubwa zaidi kwangu ni hizi transaction cost. Imagine mtu unatuma fedha kupita M-Pesa unakatwa mpaka Tsh 7,000/=. Huwa na najiuliza hawa VODACOM wanania njema na mtanzaia wa kawaida au ndo kutuangamiza wanatanzaia? Wana JF naomba mnisaidie, mnalionaje hili?

  Ahsanteni
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Cost ziko wazi kabisa, na zimebandikwa kwenye kuta.

  So ukiamua kuingia nao mkataba wa kutuma hela, its for your own risk, and iam afraid you dont have someone else to blame!
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mazee mie ni mteja mzuri sana wa Mpesa, nadhani hujaielewa vizuri, kuna aina mbili za utumaji wa Mpesa. kuna kutuma kwa namba ambayo iko registered kwenye Mpesa na kutuma kwa namba ambayo HAIKO registered. Ukituma kwa namba ambayo iko REGISTERED na MPESA kuanzia shs 1000-500,000 ni tshs 200 TU. Na ukituma kwenye unregistered namba ndo kuna charges tofauti kutokana na kiwango unachotuma, HIZo ni business strategy kwamba km kuna mtu unamtumia mara kwa mara utashawishika kumshawishi na yeye ajiunge na Mpesa ili mtumiane pesa kiurahisi. So mkuu mshawishi huyo unayemtumia Mpesa Ajiunge na hii huduma BOMBA
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Rayase anatakiwa apewe shule ili aelewe vizuri....fanya utafiti kabla kulaumu kwa kitu chochote.....itakusaidia
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Dec 9, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Sure!
   
 6. m

  mayala luswetul Member

  #6
  Dec 9, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu Rayase umenena lakini nitachangia sehemu ya transaction zinazofanyika dhidi ya wateja wa kampuni ya vodacom. Swali langu ni kuwa kwa kiasi fulani kampuni inafanya shughuli za taasisi za fedha tukiacha usajili wa tcra, je benki kuu wana taarifa na hili? kwa kuwa moja ya kazi yao ni pamoja na kusajili taasisi za fedha kuepuka DESI Zingine. naomba wana JF nifahamishe
   
 7. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  BOT wanafahamu na imesajajiliwa kisheria! Ni sawa na western union money transfer!
   
 8. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  I am not interested with tht TShs. 7,000/= but ningependa kufahamu kiwango kama hicho unaweza kukatwa baada ya kuhamisha kiasi gani cha pesa. Na katika matumizi sahii ya lugha,unaposema MPAKA, ni kuonesha hicho ndo kiwango cha juu kabisa ambacho mteja anaweza kukatwa kama transfer fee!!! Kama hivyo ndivyo, basi i have no problem with that otherwise if u put it clear. forget not, transfer fee hata kwenye mabenki ipo juu sana especially btn two banks. Asusume unataka kufanya money transfer from Bank A to Bank B, no one bank will charge you below TShs. 20,000/= even for transfer of tsh. 10,000/=.
   
 9. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  You are right mkuu, like when nmb walivyo-stop "walk in customers". Unajua nini? zamani watu waliifanya nmb kama money transfer centre!! unakuta mtu kila wakati anafanya money transfer from point A to point B, lakini not NMB customer kiasi kwamba hata linapotokea tatizo inakuwa ngumu kufanya tracing! hiyo ni part of risk management.
   
 10. R

  Rayase Member

  #10
  Dec 10, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  jamani wana JF me nadhani kuna wengine hawafamu gharama za M-PESA . visit http://www.vodacom.co.tz/ utajionea yafuantayo.

  M-PESA services are charged as per published customer tariffs indicated below. Charges are deducted from the registered customer's M-PESA account. Charges are not deducted from the customer's prepaid or post-paid Vodacom account.

  http://www.vodacom.co.tz/docs/docredir.asp?docid=3535
   
 11. M

  Mchili JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
   
 12. R

  Rayase Member

  #12
  Dec 10, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jaman mimi ninakubaliana na wachangiaji lakini kwa mfano. umedepost 400,000/= free them unakwenda kudraw wewe mwenye account ya M-Pesa unakwatwa Tsh 7,000/=. Mtanzamo wangu hawa jamaa japokuwa wanasema wanatusaidia na hata mimi naoma huduma yao inaonekana muhimu hasa kwa remote areas naomba wapunguze ili ziendane na hali halisi ya ushindani.
  Thanks
   
 13. M

  Myamba Senior Member

  #13
  Dec 10, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nijuavyo mimi Benki Kuu wanafahamu na kuidhinisha transactions hizo kupitia idara yao ya National Payment System (NPS). Vinginevyo Benki Kuu isingeruhusu hilo. Pia kuna masharti wanayopewa na Benki Kuu katika kulifanya hilo. Hivyo shaka ondoa.
   
 14. M

  Maison Zablon Member

  #14
  Dec 10, 2009
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa wa vodacom' ni kuwa nao makini kwani kuna kigogo wa Epa anamiliki 25 percent za total Equity .isije Vodacom' MPesa ikawa Epa nyingine wahanga wa MPesa watakuwa watanzania masikini.
   
Loading...