VODACOM MWISHO WENU UNAKUJA, MTAKWISHA MAJIZI WAKUBWA nyie

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,161
796
Vodacom wansahau kwamba hii game of chance ni nafasi yao kwa kuwa wao ni provider pekee wanaoapatikana

lakini wajue wao ndio wanatupa nafasi ya kujua wizi wao unatufungua macho, ubongo, masikio nk

Ukipigastama kea ni kealesi. hawasaidii lolote ambapo tayari wamekuramba salio.

kama wewe si mwaminifu unajitafutia anguka la milele, hata kama nitakua pekeangu lazima niwakwepe nikipata mbadala

nakumbuka sana nilianza na Tigo wakati ikiitwa MOBITEL upuuzi wao uliepusha nao,

wakati flan sasatel walivyokuja nikajua nimepta mbadala, lkn dawa ya vodacom inakuja...najaribu kuaangalia ama kupata provider yyt mzuri nitawakimbia tu. I SWEAR
 
[h=1]400 Bad Request[/h]
cloudflare-nginx



NI NINI HILI BAD REQUEST SABABU NI NINI inatokea kila niki brouse internet
 
Back
Top Bottom