Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,423
- 1,251
Hiki mlichotufanyia wakazi wa Dar na superunit yenu, ni ukorofi wa hali ya juu. unatoa GB 3/week/5000 kwa mantiki hiyo mtu atumie 20k/month.
wakati mwanzoni tulikiuwa tunatumia 10k/month japo GB zilikuwa kidogo, nani kawambia zile GB zilikuwa hazitoshi mpaka kuzipandisha na gharam juu.
Mmenikera sana rudisheni bundle letu la 2000/1GB/week au 2500/1.5GB/week. vinginevyo bye bye. vyuma bado vigumu.