Bora inayokuja na namba uta screen,kuna wale wanaozileta kwa majina mara INTERNET, mara SHINDA and the like sijui uta screen nini?weka namba hiyo kwenye screen numbers. wala hutaona tena hizo msg zinazokuja kwa namaba hiyo kwenye simu yako.
huwa nakereka sana, sku nyingine huwa wanapiga simu kabisa. hivi sheria inasemaje katika hili?Imefikia wakati tiwashtaki ili watulipe fidia. hii inawezekana kabisa hawakutuandikisha mkataba wa matangazo wakati wanauza line. PERIOD
Wanakeraje? Nimewatumia STOP sijaziona tenaVodacom mnakera na meseji zenu mnazotuma hovyohovyo kwa wateja kwa kutumia namba 15778.
Habari zingine ni za udaku! Mfano leo kuna ujumbe umetumwa "baada ya ndoa ya wasanii... kuvunjika...Risasi limeandika!"
Huwa hamchelewi kuanza kukata salio!
Wanakeraje? Nimewatumia STOP sijaziona tena
Mimi nilipigiwa kutoka tigo kua umefanikiwa kujiunga nabima tembelea ofisi zetu upate kujua hospitali zetu, kweli inakera.