Mseti2007
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 493
- 175
Hicho kinamba hakina madhara sana kaka, ni kama "toothless dragon". Hicho ni Mega Promotion ile ya kujishindia Boda Boda ama pesa taslimu, ila meseji inayotumwa hata iwe na mbwembwe kiasi gani usibabaike nayo maana zile ni Invitation Message tu za kukuvuta ushiriki.
Unapojaribu kuijibu tu neno lolote (nasisitiza tena unapojaribu tu kureply neno lolote) unafyekwa Tsh. 300/= on the spot! Ukijibu tena 300/= nyingine inasepa, ukirudia kujibu 300/= hiyooo! Dawa pekee usijibu chochote (liwe neno NDIYO, STOP, ONDOA, CANCEL usijibu maana system yao inapromt kuwa una-attempt to subscribe so inaku-prob moja kwa moja kwenye promo na charges apply on the spot. ) Ukiona msg zinakuwa kero kwako unaweza wapigia 100 ama 15366 waambie wakutoe usiwe unapokea hizo msg, usiwasikilize chochote waambie SITAKI HIZO msg na watakutoa kwenye kupokea hzo msg ktk hiyo Promo yao.
Nina uhakika huo maana nina uzoefu nao sana hawafurukuti, ukiwa mpole watakufilisi.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Walisha nitoa hela siku moja,..."vya bure vinaua"..
Waliniambia eti nimeshinda zawadi wakati hata nilikuwa sijashiriki,wakaniambia nitume sms kwenda kwenye hiyo namba kujua zawadi....
Walichokifanya wanajua wao na mimi.