Vodacom mnakera na meseji zenu mnazotuma hovyohovyo kwa wateja kwa kutumia namba 15778

Hicho kinamba hakina madhara sana kaka, ni kama "toothless dragon". Hicho ni Mega Promotion ile ya kujishindia Boda Boda ama pesa taslimu, ila meseji inayotumwa hata iwe na mbwembwe kiasi gani usibabaike nayo maana zile ni Invitation Message tu za kukuvuta ushiriki.

Unapojaribu kuijibu tu neno lolote (nasisitiza tena unapojaribu tu kureply neno lolote) unafyekwa Tsh. 300/= on the spot! Ukijibu tena 300/= nyingine inasepa, ukirudia kujibu 300/= hiyooo! Dawa pekee usijibu chochote (liwe neno NDIYO, STOP, ONDOA, CANCEL usijibu maana system yao inapromt kuwa una-attempt to subscribe so inaku-prob moja kwa moja kwenye promo na charges apply on the spot. ) Ukiona msg zinakuwa kero kwako unaweza wapigia 100 ama 15366 waambie wakutoe usiwe unapokea hizo msg, usiwasikilize chochote waambie SITAKI HIZO msg na watakutoa kwenye kupokea hzo msg ktk hiyo Promo yao.
Nina uhakika huo maana nina uzoefu nao sana hawafurukuti, ukiwa mpole watakufilisi.



Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Walisha nitoa hela siku moja,..."vya bure vinaua"..
Waliniambia eti nimeshinda zawadi wakati hata nilikuwa sijashiriki,wakaniambia nitume sms kwenda kwenye hiyo namba kujua zawadi....
Walichokifanya wanajua wao na mimi.
 
Jamani nachukizwa sana na message za vodacom,natumiwa message za bahati nasibu,message ingiingia nadhani ni jambo la muhimu,nakuta sms eti number yangu imechaguliwa kushinda,I am not interested mnaniletea usumbufu! Watumieni wanaotaka au wanaocheza hizo bahati nasibu zenu! Naamini huwa mnapita humu,wengine hatutaki kusumbuliwa na free message zenu!
 
Jamani nachukizwa sana na message za vodacom,natumiwa message za bahati nasibu,message ingiingia nadhani ni jambo la muhimu,nakuta sms eti number yangu imechaguliwa kushinda,I am not interested mnaniletea usumbufu! Watumieni wanaotaka au wanaocheza hizo bahati nasibu zenu! Naamini huwa mnapita humu,wengine hatutaki kusumbuliwa na free message zenu!
HUMU KUNA VODACOM SPESHO THREAD TAFUTA UWAPE MAKAVU ALTHOUGH SIDHANI KAMA ITASAIDIA
 
Hawa Vodacom,ukikosea malipo kwenye Mpesa sahau kupata pesa yako.Utazungushwa kama TAIRI la gari bovu
 
MASWALI ZAIDI-FEDHA RAHISI. 757****** cheza zaidi kujishindia mgao wako wa TZS 615,000,000 TASLIMU KUPITIA KAMATA MPUNGA! TUMA NENO GO kwenda 15544 SASA.
 
Msg kama hizi Keroo UNAFAA!
KAMATA MPUNGA inasisimua, rahisi, inafurahisha, na ina zawadi za kila siku!
JIBU MASWALI MENGI ZAIDI kwa TZS 1,000,000 LEO & JUMAPILI TZS 5,000,000!Je YANGA Ilianzishwa mwaka gani?
1=1987
2=1935
 
Hawa voda ni wakudar sana kila siku wananitumia ikishafika mida kuanzia saa 8 mchana hadi jioni ndiyo wanaanza kutuma wanaboa sana!

Kwanini wasiinge mazuri kutoka Halotel bhana
 
Aisee hawa watu wanaboa sana unakuta uko busy na kitu alafu meseji inaingia unakuta limeseji halina maana yani huwa nachukia sna
 
Back
Top Bottom