imefikia wakati tiwashtaki ili watulipe fidia. Hii inawezekana kabisa hawakutuandikisha mkataba wa matangazo wakati wanauza line. Period
nikiona ya kuanzia 15xxx nafutaga kabla ya kusoma. Nakatwa kila mwenzi buku jelo eti bima sijui nimewafata lakini wapi kila mwez nakatwa je nifanyeje lakin ni tigo.
Vodacom mnakera na meseji zenu mnazotuma hovyohovyo kwa wateja kwa kutumia namba 15778.
Habari zingine ni za udaku! Mfano leo kuna ujumbe umetumwa "baada ya ndoa ya wasanii... kuvunjika...Risasi limeandika!"
Huwa hamchelewi kuanza kukata salio!
Barasu Shinda 12,000pointi zaidi:Vodacom mnakera na meseji zenu mnazotuma hovyohovyo kwa wateja kwa kutumia namba 15778.
Habari zingine ni za udaku! Mfano leo kuna ujumbe umetumwa "baada ya ndoa ya wasanii... kuvunjika...Risasi limeandika!"
Huwa hamchelewi kuanza kukata salio!
Eti bana,..simu yako wanakutumia matangazo yao bila kukulipa chochote. Hebu waulize kama wakitangaza kwenye mabango na magazeti ni bure! Waache kuboa wateja..unakimbilia simu kudhani sms yako unakuta wanakutangazia biashara yao. Kuna haja wateja kuungana kupinga huu uzandiki/unyanyasaji.Vodacom mnakera na meseji zenu mnazotuma hovyohovyo kwa wateja kwa kutumia namba 15778.
Habari zingine ni za udaku! Mfano leo kuna ujumbe umetumwa "baada ya ndoa ya wasanii... kuvunjika...Risasi limeandika!"
Huwa hamchelewi kuanza kukata salio!
Shukrani DEONOVA kwa ufafanuzi wako wa jinsi ya kujitoa huduma za PERUZI na GLOBAL.Nimefanikiwa kwa 100%!!
Kuna kinamba kingine tena,kama sijakisahau ni 15544,kinaboa vibaya,haya sasaivi ni wezi wa mchana kweupe,na hiyo menu yao mpya..
Walinikamata siku moja hawatanikamata tena...
Washenzi wakubwa