VodaCom mmefulia zawadi Miss Tanzania ya chini?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
DSC_0159.jpg

Najiuliza kulikoni zawadi ya mwaka huu kwa Miss Tanzania 2010 ni gari aina ya Hyundai i10 na fedha 10m cash wakati last year Miss TZ alikamata Suzuki Grande la 60m au ndio kufulia kwa vodacom? au vodacom mwataka kujitoa kwenye kudhamini mashindano haya ya Miss TZ yasiyo na mvutu huku kiingilia kikiwa cha juu sana cha TZS 100,000....?
 
Vodacom kwakuwa bosi wao RA yupo kwenye kampeni na pesa zimepelekwa kumsaidia jk ndiyo maana hata mabango yao yameshushwa nakuweka ya CCM.
 
Hamna mwaka huu hakuna warembo kabisa wamechoka tu..nadhani wameona wasipoteze fedha nyingi Hyundai inamtosha tu..ww mtu katoka kwenye kitongoji kapewa zawadi ya laki5 then kaja kwenye kanda kapata million moja..then taifa ndo umpe ngapi kama si halali kwake kupata hata million5.
Nadhan zile zawadi za nyumba huenda kulikuwa na mkono wa mapedejee ila kwakuwa sasa wapo mamiss vipori na pedejeez wamekula kona basi wapozwe kwa hiyo Hyundai..
 
Maka huu warembo ni wazuri kuliko wa mwaka jana... lakini there is nothing to expect as long as Hashimu bado ndio organizer

Naombea kabisa yafe hayo mashindano maana naona midume inaenda kuuza wallet pale badala ya kusaidia kwao walipotoka hata vyoo hamna
 
Kamanda kumbe hata kwenye fani hii umo? Sikuwezi!
 
Naona warembo hawa hawana vigezo zaidi ya kuwa na miili iliyotuna na kuvutia
Chakula cha wenye meno hao
 
Hako ka Hyundai kanawatosha, warembo wenyewe wakipewa hayo magari ya kifahari huanza uchangudoa.Hizi hyundai zinapromotiwa na Vodacom na wana mkataba nao hao wahindi.
 
DSC_0159.jpg

Najiuliza kulikoni zawadi ya mwaka huu kwa Miss Tanzania 2010 ni gari aina ya Hyundai i10 na fedha 10m cash wakati last year Miss TZ alikamata Suzuki Grande la 60m au ndio kufulia kwa vodacom? au vodacom mwataka kujitoa kwenye kudhamini mashindano haya ya Miss TZ yasiyo na mvutu huku kiingilia kikiwa cha juu sana cha TZS 100,000....?
Kiingilio shillingi ngapi? Nilikuwa nimeshawatangazia watu kuwa naenda,..., itabidi nivunge kama nimeenda halafu naishia samaki samaki nakunywa soda yangu moja pale!
 
Kiingilio shillingi ngapi? Nilikuwa nimeshawatangazia watu kuwa naenda,..., itabidi nivunge kama nimeenda halafu naishia samaki samaki nakunywa soda yangu moja pale!

Na kiingiliao ni kimoja tu cha laki moja au TZS 100,000/= wenyewe wanaita GOLD entrance...
 
Kamanda kumbe hata kwenye fani hii umo? Sikuwezi!
hahhaaaa... last week nilikua swimming lesson Giraffe nikawaona, ila sitapoteza hata shilingi hamsini kwenda kuangalia the human zoo

Ni bora huo muda tuwe kunahesabu mabasi ya mikoani pale ubungo
 
hahhaaaa... last week nilikua swimming lesson Giraffe nikawaona, ila sitapoteza hata shilingi hamsini kwenda kuangalia the human zoo

Ni bora huo muda tuwe kunahesabu mabasi ya mikoani pale ubungo
Mzee umekumbusha mbali sanaa nimecheka kukumbuka utoto !!
 
nasikia Jakaya Mrisho Kikwete Mgeni rasmi.
baada yakutoswa na Maaskofu, mapadre, wachungaji na watu wa Mungu kule Mbeya kuna habari za chini ya kapeti mkuu wa nchi atahudhulia hafla hiyo na atatoa tuzo kwa mlimbwende bora wa mwaka huu.
 
Kazi kama hizo anaziweza sana kuongeza hovyooo
 
Kazi kama hizo anaziweza sana kuongeza hovyooo
Ukichukulia hapo itakuwa Eid el fitr naona hapa ndo patamu ....Katika halfa hizi kamwe hawezi kusema aiseeeee.!
Binafsi naona haitaleta picha nzuri kwake kuwa mgeni wa heshima
 
Nimesikia Vodacom wamelalamikia kitendo cha magari wanayopewa washindi mara nyingi kuendeshwa na ving'asti mitaani na kupoteza maana nzima ya mamiss kutumiwa na Vodacom kama matangazo wanapoenekana na magari haya,na nimeambiwa baada ya mkoko wa mwaka huu kama tatizo hili litajitokeza watatoa zawadi tofauti na magari.
 
Ma-miss wenyewe jana walizama ktk bahari ya hindi... Watano wakazimia... Mfunyukuzi kuna thread nimeanzisha kule kwa Ma-selebu... Pitia kule Baaaanaaaa!!!...
 
Back
Top Bottom