VODACOM mbona wamesitisha KIMYAKIMYA huduma za kutuma na kupokea pesa kutoka nje?

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,104
7,857
Kwa muda sasa huduma ya kutuma na kupokea kupitia Vodacom MPESA kwa walio nje ya nchi imekuwa haifanyi kazi kabisa.

Sielewi kwa nini hii kampuni imekuwa na tabia ya kusitisha huduma zake na kubadilisha vifurushi bila kutoa taarifa kwa wateja wake.

Na ukienda Bank kutumia Western Union nasikia na kwenyewe hata kitambulisho cha kupigia Kura hakikubaliki.

Hivi mnajua hii nchi tunarudi nyuma kwa kasi sana?
 
Dah! Hatari saana aisee! Voda ni mtandao hatari saana kwenye maisha ya Mtanzania. Ni sawa na kile chama tu, wasiojua hufikiria wanawaziwa mema wakati ndiyo tutazidi kukandamizwa.
 
Dah! Hatari saana aisee! Voda ni mtandao hatari saana kwenye maisha ya Mtanzania. Ni sawa na kile chama tu, wasiojua hufikiria wanawaziwa mema wakati ndiyo tutazidi kukandamizwa.

Yaani wanatuimbisha Kwa Ngwaru Magufuli Remix huku wanatupeleka gizani.
 
Back
Top Bottom