Vodacom, mawasiliano ni muhimu kwa wateja wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodacom, mawasiliano ni muhimu kwa wateja wenu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Pastor Achachanda, Jun 15, 2012.

 1. Pastor Achachanda

  Pastor Achachanda JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 3,011
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Nilijiunga Cheka ya dk15.Zikabaki 9.Usiku huu nataka kupiga mnasema mwisho saa 12, hivyo zime expai.Kwa nini msitaarifu?
   
 2. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  two weeks ago nilikwenda bagamoyo, huko nilinunua vocha airtime ya vodacom sh. 10000, (5000x2) kumbe zilikuwa zimesha expire,nikawapigia simu customer care wakaniambia nasubiri 24 hours na issue yangu itashughulikiwa,mpaka leo sijapata msaada, nikipiga simu najibiwa na mashine.
   
 3. Pastor Achachanda

  Pastor Achachanda JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 3,011
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Du!Pole mkuu Lukansola.Pengine voda sasa wametosheka.Yaani kila mtu analalamika.Kwani "mamlaka" haina "meno"?Watusaidie!
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,747
  Trophy Points: 280

  Hakuna wa kusaidia Mkuu, wote wameshatiwa mifukoni na makampuni ya simu katika kubariki wizi huu, vinginevyo wangekuwa wameshatoa onyo kwa makampuni haya kuacha wizi dhidi ya customers wao au hatua kali zitachukuliwa dhidi yao.
   
 5. Pastor Achachanda

  Pastor Achachanda JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 3,011
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Hapo hapo mkuu BAK,unanikumbusha wimbo wa kuabudu enzi zetu zile-"Kiliox6 tutamlilia nani?Ee baba tusamehe...."
   
 6. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Vodacom wamekuwa waizi sana ni bora hata nihamie mtandao mwingine ambao unamjali custamer. Naona zantel wamekuja na unafuu kidogo.
   
 7. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,926
  Trophy Points: 280
  voda hawafafai, kwanza ukipiga simu wakati mwingine unajisikia wewe mweenyewe weneywe wanaendelea kukata credit, wakati mwignine network mbovu...mara unasikia mitambo yao tu...yaani hawa jamaa wabovu kishenzi yaani.
   
 8. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Yaani haying makampuni ya simu bongo ni utumbo mtupu. Voda na Tigo kwakweli siku hizi hamna kitu kabisa. Afadhali ya zantel kidogo wanahirumia walalahoi.
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Sijui kama hao vodacom huwa wanapitia huku JF.:yo:
   
Loading...