Vodacom m-pesa mawakala

malamsha shao

JF-Expert Member
Sep 23, 2012
215
77
Wana jf ninaomba wenye uzoefu waniambie faida inapatikanaje kwa kila transaction na inachukua muda gani kuomba mpaka kupewa code au line ya uwakala na gharama zozote unazoingia ili kupata hiyo line natanguliza shukrani zangu za dhati kwa mchango wenu
 
weka wazi mkuu kwa manufaa ya umma.
Kizuri chajiuza, watu wakishaona faida yake wata ku pm wenyewe bila hata kuwaamaia.
 
Kwanza inategemea na mzunguko wa wateja mf.ukiwa unapata wateja wengi wa kutoa pesa commission inakua nzuri kuliko kuweka
 
Back
Top Bottom