vodacom, kwenye hili la kutimka na bodaboda mmewalenga akina nani??

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,723
5,900
baada ya kunitumia sms nyingi za kunishawishi mara oh..namba yako inayoishia na 0 ipo ktk nafas ya kushinda...and blah blah..mwanaume nikawa kimya tu..sasa juzi wakanitumia kuwa wamenipa sms 05 bure za kushiriki..basi nikacheza huo mchezo..nilidhani nitaulizwa maswali yanayohusu vodacom, loh! eti naulizwa "msanii yupi wa bongo fleva aliyepachikwa mimba hivi karibuni? " ukijibu kwa usahihi utajinyakulia pointi nyingine 250....

niwaulize nyie voda...hivi mnadhani kila mtu anafuatilia bongo muvi na bongofleva??
 
dah, Voda wanaboa sana na maswali yao yasiyokuwa na msingi!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom