Vodacom kwasasa ndio wenye unafuu wa bando la intanet

Naendelea kula maisha na tigo
Screenshot_20211113-101027.png
 
Kwa sh 50,000/= unapata gb 37 za kasi na hata ukimaliza hizo gb 37 unaendelea kutumia internet mpaka ile tarehe ya bando kuexpire ifike japo wanapunguza kasi kidogo.

Kwa uchumi wa sasa hilo ndio bando sasa la kuunga, maana vile vifurushi vya wiki unatumia siku mbili kimeisha.
Na unakuta unavyojiunga kila siku kwa mwezi unakuta umetumia hela nyingi sana.

Bora utoe 50k yako at once uenjoy maisha na internet yenye kasi toka Vodacom

NB:
Sitaku makasiriko katika uzi huu, kila mbuzi ale urefu wa kamba yake, full stop!!
Eerr! Kama kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake, imekuwaje kuongekea bando la 50k wakati kuna watu wanasotea kuunga la buku saazingine wanabau?

Umemchokoza beya, ukitukanwa usinilaumu!
 
Back
Top Bottom