VODACOM kwanini mnatusumbua wateja wenu wiki hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VODACOM kwanini mnatusumbua wateja wenu wiki hii?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GM7, Nov 1, 2009.

 1. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wana JF,
  Natumaini wahusika wa makampuni ya simu hapa nchini TZ wapo humuhumu ndani ya JF, mtakubaliana na mimi kuwa Vodacom wiki hii hadi sasa hivi ninapopost hii thread mtandao unasumbua kweli kweli.

  Mfano: Unajaza vocha mara ya kwanza no answer, mara pili hivo hivo na pengine mpaka mara ya tano ndipo vocha inakubali kuingia kwenye simu.

  Si hilo tu, njoo kwenye kuangalia salio na penyewe mambo yale. Halafu hata kupiga simu na penyewe hivo hivo, mara unapiga simu unaambiwa No network available, au error in connection, au mteja unayempigia hapatikani wakati uko naye hapo na simu iko ON.

  Vodacom, Vodacom, Vodacom, why this happens?

  Kama kuna tatizo si mtuambie au kama wateja wengi sana basi tuhamie mitandao mingine.
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hivi hii ni Voda tu au mitandao kadhaa bongo?
   
 3. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Come one come all to TiGo network
   
 4. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Yeah, kama hujawahi kuwa fundi rahis kulalamika hivyo.

  Hata hivyo ubaya wa mawasiliano ni kumba wanatakiwa kukupa taarifa kwenye channel hiyo hiyo au waende kwenye habari maelezo?
   
 5. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mimi sijaliona tatizo hilo na siku nzima nilikuwa kwenye CHEKA TIME. nafikiri ni tatizo la eneo fulani.

  Pole sana
   
 6. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ahaaaaaaaaaa! sasa nimekumbuka, si unakumbuka wakati ule wa huduma ya CHIZIKA jinsi mtandao ulivyosumbua. Sasa tatizo hilohilo limerudi tena kwenye CHEKA TIME.
  Ukitaka kujua matatizo haya hebu tuulize sisi watoa huduma za simu adha tunayoipata, yawezekana umebahatika kwa wakati huo haijakusumbua. Sio kuwa tatizo liko muda wote. Kuna wakati linakuwa halipo lakini vilevile likianza kusumbua nakwambia unaweza kubamiza chini simu yako ya kichina.
   
 7. Power to the People

  Power to the People JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2009
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 1,193
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  hili tatizo hata mimi nmelipata wiki ya pili sasa, network ya voda inasumbua mno unapiga simu haziendi, ukiuweza kumpata mtu hamsikilizani kabisa unapoteza tu muda wako wa maongezi. kama hawa voda wangekuwa wastaarabu wasingeanzisha cheka nao wakati wanajua mitambo haiwezi kuhimli.
   
 8. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  tigo express yourself!come on all to tigo.
   
 9. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2009
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ndugu nimekusoma mi nahsi kna over population baina ya makampuni hayo, hasa TIGO and now VODA wameanza hako kamchezo,
   
 10. J

  Jesca New Member

  #10
  Nov 3, 2009
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukweli tunateseka na mtandaowao ila kwasababu tumezoe na voda tunaamini ndio ntandao pekee ulibaki tanzania mnge tufikiria wateja wenu wengine tunatese na hiyo cheka yenu wakati hata hatutumii kwani msingeweka huo usumbufu kwa wale wanao tumia huduma hiyo na sie wengine mkatuacha
   
 11. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mi nachojua voda huweza kukubali kuingia hasara ili kuwamaintain wateja wake especially corporate customers, kila kampun ina strategies zake mf voda wamelenga wale wateja wakubwa, tigo imelenga wateja wa kawaida. sasa tigo kwa sasa inapata wateja wengi sana kutoka makampuni kama voda na zain coz wako cheap na wabongo wengi kwa sasa wamefulia, uchumi umedorora, ila kinachowasaidia tigo kwa sasa ni kile kitendo cha kujiunga na huwawei ambao wanapiga kazi kinoma, alafu wanajitahidi kuiupgrade mitambo yao kumbuka tigo ndo waliokua nyuma kumiundo mbinu but toka wajiunge na hawa wachina wa huwawei mambo yamebadilika kwa kasi kiasi kwamba voda sasa hivi hawalali.....

  voda jitahidini kuwajali hata corporate customers wenu, mnatuvunja moyo kwa kweli. Nasikia mmeanza kupunguza watu kazi, huu ni ushahidi tosha kwamba mambo ni magumu. Ol the best!
   
 12. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2009
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hello jesca mambo vip
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Eeeh wewe mie kila siku nalia na celtel ni matatizo tupu yaani ningekuwa na uwezo wa kutumia mtandao usio wa kibongo ningefanya hivo

  celtel unaweza kaa 2 days no network message haziendi unapiga simu inakwambia haipatikani kumbe iko on na huko kwa mhusika inaita
  sijui kazi zimewashinda
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  muda si mrefu nimetoka kwenye vodashop ya hapo mnara wa askari,
  nlienda ili niweke pesa kwenye account yangu ya m pesa.
  Nimeshindwa, nimeambiwa system inasumbua.\
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Njoo tiGo!
   
 16. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hakuna mtandao wenye afadhali si tigo wala nini yote sawa sema tigo gharama zake ziko chini ila wenyewe ni wasumbufu sana hasa ukitaka kukonnect mtandao mwingine
   
 17. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #17
  Nov 3, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Voda inasumbua mno esp kwenye kupiga unapata ujumbe error in connection, network busy, etc! Pia ilinihangaisha mno kwenye mambo ya M-PESA! Unatuma salio hupati msg mpaka uwapigie Customer Care kuuliza kama transaction imefanyika, wanakuambia transaction imefanyika, ukimpigia uliyekuwa unamtumia salio anakwambia naye hajapata msg lakini akiangalia salio limeingia! Baada ya muda mfupi kabla hajaenda kuchukua hela kwa wakala eti salio limerudi tena kwangu! Hapo nilichoka sana! Ilibidi niwapigie tena maana nikitaka kuangalia salio nikiambiwa 'your request has been submitted' sipati jibu tena na salio halionyeshi! Nilipoambiwa kwamba salio limerudi tena kwangu nilianza process upya kutuma, hatimaye nilifanikiwa! Hao ndio voda wa siku hizi!
   
 18. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #18
  Nov 4, 2009
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Poleni sana na 'ntandao' wenu wa voda.
  Tigo is all we all need. Zamani tulikuwa tunawacheka kwamba hawajasambaa, sasa wapo kila kona.
  Mtandao si kabila, hameni tu!
   
 19. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  mbona mtandao wa tigo upo bomba tu, mie voda nilihama zamani niliona mizinguo.
   
 20. j

  jomma New Member

  #20
  Nov 4, 2009
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukitaka kujua TIGO ndio mtandao unaohitajika kwa kila mtanzania, pamoja na promotion zote zilizopo, xtrema sms, voice xtreme, xtreme sms ucpime, etc. lakini bado mtandao unadunda tu! Hakuna network erroe wala pending request! Hata hivyo, matatizo ya mtandao ni jambo la kawaida na kabla hujaamua kuhamia mtandao mwingine, you real should have good reason for it!
   
Loading...