VodaCom kupitia EL, NA ROSTAM WAMEGHARIMU UWAZIRI WA PROF. MSOLA

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
2,000
Nimekuwaa hapa iringa, habari hizi zinazumgumzwa wazi wazi, kuwa prof. msolla wakati akiwa waziri wa sciense na technologia, ndiye aliyeamuru kupunguzwa kwa bei za simu kupitia inter connection tariffs na kadhalika. kampuni ya vodacom inayomilikiwa na rostam aziz na lowasa ilikuwa tayari inapinga sana hili. mtakumbuka kuwa mabilioni ya voda yametumbukizwa kwenye kampeni za jk kwa ridhaa ya wamiliki wa voda.kushuka kwa bei za simu kumeathiri sana kampuni hii, hivyo wamiliki wakaapa kwa ufisadi wao kuwa profesa msollla basi! safari ya msolla ndo inakaribia ukingoni kisiasa kwa kuwa amegusa mahali alipogusa mwenzake samweli sita, lembeli na seleli yetu macho
 
kipipili

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
1,590
1,250

mbona ameshajizeekea huyo, kwa hiyo there is no difference
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
0
Mhhh hii siku si nyingi JF itakuwa the comedy forum. Hata kama ni uhuru wa mawazo dah.

habari hii tata hii ilitakiwa kuwa comment ya thread 1ja wapo ya siasa.
 
Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,205
2,000
Nimekuwaa hapa iringa, habari hizi zinazumgumzwa wazi wazi, kuwa prof. msolla wakati akiwa waziri wa sciense na technologia, ndiye aliyeamuru kupunguzwa kwa bei za simu kupitia inter connection tariffs na kadhalika. kampuni ya vodacom inayomilikiwa na rostam aziz na lowasa ilikuwa tayari inapinga sana hili. mtakumbuka kuwa mabilioni ya voda yametumbukizwa kwenye kampeni za jk kwa ridhaa ya wamiliki wa voda.kushuka kwa bei za simu kumeathiri sana kampuni hii, hivyo wamiliki wakaapa kwa ufisadi wao kuwa profesa msollla basi! safari ya msolla ndo inakaribia ukingoni kisiasa kwa kuwa amegusa mahali alipogusa mwenzake samweli sita, lembeli na seleli yetu macho

mmmh samahani mwikimbi, naomba nitofautiane na wewe kidogo, soko la simu haliendi namna hiyo, hakuna mtu anasema bei lazima iwe shilingi moja voda kwenda voda, USHINDANI katika soko ndiyo sababu pekee, sio prof plz!
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,247
2,000
mmmh samahani mwikimbi, naomba nitofautiane na wewe kidogo, soko la simu haliendi namna hiyo, hakuna mtu anasema bei lazima iwe shilingi moja voda kwenda voda, USHINDANI katika soko ndiyo sababu pekee, sio prof plz!
Asante na mimi nilitaja kumwamia hivyo kifupi nikwamba tiGo ndiyo wamesababisha hapa tulipo maana alishusha tarifu voda akajifanya asikii alipoona tiGo anataka kumpita ndiyo akatoa chekatime mamboyalikuwa magumu kwake mpaka sasa imewa athili kima pato subiri itashuka zaidi ya hapo kwani nasikia mpango wa airtel nizaidi ya hapa,na tiGo walisha mwita kwenye vikao vyao vya wenye mitandao akasema niwakati wa biashara huria kwa wewe voda na zain mna wateja wengi kuliko mimi sasa mimi pia nataka wateja jinsi yakuwapata nimimi kushusha gharama.
 
TanzActive

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
366
225

Nakuunga Mkono

Theory ni kwamba kwenye stiff competetion, firms will be compelled to reduce their maginal profit or cut down fixed cost to survive .
kwa hiyo kilichotokea ni nguvu ya soko kwa hili la tarriff za ndani kwa ndani .

Lakini , siku zote kulikuwepo na matatizo ya taffif la mtandao mmoja kwenda mwingine , Makampuni makubwa yalikuwa yanataka kutengeneza berrier to entrace kwa makampuni mengine yanayoanza, kwamba mpaka uwe na customer base kubwa ndo ufanye biashara ya simu TZ .

Na hapo ndipo wizara + regulator anapopaswa kuingilia kati , ili yale makampuni makubwa yasitumie ukubwa wao kuzuia wengine kuingia katika soko au kuua makampuni madogo
 
mams

JF-Expert Member
Jul 19, 2009
614
195
Sina lengo la kumtetea EL na RA, lakini kwa hili hapana. Wa kulaumiwa ni tiGo ambao waliamua kupata faida kidogo ili wapate wateja wengi(hususan ndani or own network). Kama mtafuatilia mtajua Voda na Zain imewachukua muda mrefu kuweza ku match hiyo tariff mpaka waliposhtuka tiGO anakula vichwa kisawa sawa na wateja wao yaani ZAIN NA VODA wanakula corner kila kukicha. Mpaka sasa aliye na taarifu za chini kwenda mitandao mingine ni Zantel. Kwa siku chache zijacho probably ndani ya miezi miwili ijayo tiGO watakuwa the cheapest haijapata tokea. Hii ni contrary to Wagombanapo mafahari ziumiazo ni nyasi, sisi tunaangalia wapi shilingi inaokolewa ili iweze kufanya kazi zingine.
 
Wanji

Member
Jul 28, 2010
64
95
Nimekuwaa hapa iringa, habari hizi zinazumgumzwa wazi wazi, kuwa prof. msolla wakati akiwa waziri wa sciense na technologia, ndiye aliyeamuru kupunguzwa kwa bei za simu kupitia inter connection tariffs na kadhalika. kampuni ya vodacom inayomilikiwa na rostam aziz na lowasa ilikuwa tayari inapinga sana hili. mtakumbuka kuwa mabilioni ya voda yametumbukizwa kwenye kampeni za jk kwa ridhaa ya wamiliki wa voda.kushuka kwa bei za simu kumeathiri sana kampuni hii, hivyo wamiliki wakaapa kwa ufisadi wao kuwa profesa msollla basi! safari ya msolla ndo inakaribia ukingoni kisiasa kwa kuwa amegusa mahali alipogusa mwenzake samweli sita, lembeli na seleli yetu macho

Ni kweli kuwa Prof. Msolla na Vodacom walitofautiana mwaka jana lakini sio kuhusu interconnection tariffs. Issue ilikuwa ule muswada wa sheria ya mawasiliano ambayo iliifanya compulsory kwa makampuni ya simu kulist kwenye dar es salaam stock exchange. RA alipinga sana mpaka issue ikafika kwa Mkulu, akajaribu kuzuia mkulu kusign ule muswada kuwa kusheria. Hapo ndipo kutoelewana kati ya msolla na vodacom/RA kulikotokea. Maana Prof. alisimamia msimamo wake, na finally muswada ukawa sheria kamili. Mtakumbuka hii issue ilimuinvolve mtu mwingine wa karibu wa RA by the name PM ambaye alikuwa mwenyekiti wa council ya DSE ambaye akaandika barua kwa JK bila kuwasiliana na council yake akitoa msimamo wa DSE kuwa kulazimisha listing ya telecom companies kutakimbiza investors wa sector hiyo. I think ilibidi ajiuzulu uwenyekiti baadae. Nafikiri issue ni hiyo. Sasa kama ndio iliyomgharimu prof. msolla uwaziri, siwezi kujua.
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,497
2,000
Kweli kabisa sasa kama JK ali saini...ina maana alikubaliana na Prof Msolla...iweje leo amtose sababu ya issue hiyo??hapo sijaelewa!!!
 
JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,893
2,000
Na hao wengine waliotoswa nini tatizo, sioni kama RA anamkono kwenye hilo
 
BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
4,350
2,000
...Sometimes nahisi Watanzania tunamrundikia huyu RA maujiko hata asiyokuwa nayo. Hivi ina maana everbody everywhere amewekwa mfukoni na huyu MuIran?? Really? Kuna haja gani basi ya kuwa na Viongozi?? Si awe sasa Raisi wa Nchi?? Anajifichia nini nyuma ya migongo ya watu??
 
Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,653
2,000
Mh RA na Caspian ptuuuuuuuuuuuuu natema na mate. huyu jamaa ni FISADI wa kutupwa. Kuna Kajengo anajenga pale Mlimani City kwenye ofisi za Voda walipohamia. ni Canteen itaezekwa nyasi ni kama size ya darasa ya hizi shule zetu sa uswazi, kutakuna na toilets, jamaa kalamba milioni 150, yaani dah ama kweli. halafu jamaa nasikia yeye ndo aliyekwamisha Voda kupata kiwanja cha kujenga kwa vile yeye ndo shareholder mzawa mara zote wanampa kazi ya kutafuta kiwanja, nasikia kiwanja chaweza uzwa ka M100 yeye akienda kwenye bodi anapiga mpaka m600, wazungu wakashtuka, sasa tuone hawa VODAFONE nao watamfanya nini huyu jamaa.
 
Sheka

Senior Member
Oct 4, 2010
117
195
Nakuunga Mkono

Theory ni kwamba kwenye stiff competetion, firms will be compelled to reduce their maginal profit or cut down fixed cost to survive .
kwa hiyo kilichotokea ni nguvu ya soko kwa hili la tarriff za ndani kwa ndani .

Lakini , siku zote kulikuwepo na matatizo ya taffif la mtandao mmoja kwenda mwingine , Makampuni makubwa yalikuwa yanataka kutengeneza berrier to entrace kwa makampuni mengine yanayoanza, kwamba mpaka uwe na customer base kubwa ndo ufanye biashara ya simu TZ .

Na hapo ndipo wizara + regulator anapopaswa kuingilia kati , ili yale makampuni makubwa yasitumie ukubwa wao kuzuia wengine kuingia katika soko au kuua makampuni madogo

crap!!!! teteeh.
 
Sir John

Senior Member
Aug 19, 2010
177
0
JF sasa inakua ya kimajungu zaidi!
People let's be realistic when discussing matters!This is competitive market kama wewe huwezi kuuza na kupunguza bei wenzio wanakudrag down to the lane!
So Msola kuachwa si kwa ajili ya Vodacom.....yeye amejichokea kivyake.
 
Anfaal

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
1,154
0
JF the Home of great thinkers enh! Kuna post nyingine ni za kidaku. Hizi theories za ajabu saana. Hata ukitengeneza hypothesis haiwezi kuwa testable. Yaelekea watu wamechoka kufikiri. Kuna theory moja inaitwa McGregory (sina hakika kama ndio hivyo). Inazungumzia theory X and Y personality. Nadhani JF inageuka theory X, maana kila kinachotokea hatuweza kufikiria na kutafuta ufumbuzi zaidi ya kuamini kuwa tumeonewa. Kwa sasa hivi inakuwa ngumu saana kutafuta ufumbuzi JF maana ukitaka ufumbuzi unatajiwa mwanasiasa wakati kuna mengine yapo ndani ya uwezo wetu. Kifupi watu wanalimit uwezo wao wa kufikiri.
 
Mkulima

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
712
500
Hivi mnajua kwamba Vodacom inamilikiwa na VODAFONE ya UK kwa asilimia 65 kuanzia November 2008?

Hao wengine wote kuanzia Makaburu mpaka akina Lowassa na Rostam shares zao ni hizo asilimia 35. Makaburu ndio wana asilimia kubwa kwenye hiyo 35%.

Tukilijua hili labda linaweza kusaidia tunapoijadili VODACOM.
 
MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
3,863
2,000
mmmh samahani mwikimbi, naomba nitofautiane na wewe kidogo, soko la simu haliendi namna hiyo, hakuna mtu anasema bei lazima iwe shilingi moja voda kwenda voda, USHINDANI katika soko ndiyo sababu pekee, sio prof plz!

Mtu huyu mwikimbi asiuwawe. Hii ni tz, tunapata uwaziri kwa kumukirimu mtu ktk disco au tunapoteza kwa kutomtafutia nyumba ndogo akiwa safarini jimboni kwako.

Hiyo theory ya soko ktk tariff za simu siyo kweli kabisa. Ni nzuri darasani lakini siyo kila wakati huwa sahihi. Serikali nyingi zilizo makini zinaingilia bei hasa baada ya kuona kwamba biashara hii ina faida kubwa saaaana hata kama kampuni itaongeza kwa senti 0.1 kwa call.

Ukitaka thibitisha angalia jinsi kenya walivyofanya na wanavyoendelea kufanya, bila kujali ubepari wao wa kifisadi;

READ:
Kenya mobile operators welcome tariff reduction

Kenya’s mobile telephony operators have welcomed the decision by the Communication Commission of Kenya (CCK) to slash the inter-connect mobile phone tariffs from Sh4.21 to Sh2.21.

The reduction will come into effect on September 1. The current rates were introduced by the CCK in 2007 and are modelled on an annual reduction pattern.
In 2007 the fees stood at Sh6.4 while in 2008 they fell to Sh5.6, and then Sh4.72 in 2009.

High charges have been blamed for preventing subscribers from switching networks, hence restraining competition.
Consequently, the CCK has recently ratcheted up pressure on the country’s mobile operators to lower their inter-connectivity charges, saying the prevailing rates were excessive.

Welcoming the reduction Telcom Kenya Deputy Chief Executive Officer Jane Karuku said: “Our key focus remains to continually improve the quality of our network with a view to ensuring that our customers continue to enjoy value for money from Orange (network) without compromising on quality of service,” Karuku said.

She said the operator’s business model was anchored on its long term understanding of the Kenyan market dynamics against a benchmark of global best practices.
“The market penetration in this country is still very low despite the robust network capacity that Kenya currently enjoys.

“CCK must hold players accountable to providing accessible services to a wider reach of Kenyans through sustainable pricing, while at the same time safeguarding against long term destruction of the market,” she said.

Zain Kenya Managing Director Rene Meza praised the move saying the interconnection cost had made the cost of mobile telephony very high and out of reach for the majority of Kenyans.

Zain was the first operator to take advantage of the revised interconnection rates on Wednesday, when it launched a Sh3 flat call rate from the Zain network to all other networks, with a Sh1 for sms to all networks, making its service the cheapest on the market.

The move has set the stage for an even bigger price war among Kenyan mobile telephony service providers as networks battle to lure more subscribers.
Zain has gone a step further and in aggressive advertisements in Kenyan dailies, which appeared to target rival telephony operator Safaricom, Zain said its Sh3 charge is without terms and conditions and is permanent.

Atilt Chaturvedi, Country Manager of Essar Telecom which owns the Yu mobile network said: “We are working on our new tariffs and this will be communicated to our current and new customers sooner than expected.”

Safaricom Chief Executive Officer Michael Joseph urged caution over the new rates.
“You cannot lower the costs indefinitely while you are not getting any returns; we have to give value to our shareholders. Maybe their objective is to increase volumes, good for them if it pays,” he said.

BRIAN ADERO in Nairobi, Kenya
Source: Kenya mobile operators welcome tariff reduction
 
MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
3,863
2,000
...Sometimes nahisi Watanzania tunamrundikia huyu RA maujiko hata asiyokuwa nayo. Hivi ina maana everbody everywhere amewekwa mfukoni na huyu MuIran?? Really? Kuna haja gani basi ya kuwa na Viongozi?? Si awe sasa Raisi wa Nchi?? Anajifichia nini nyuma ya migongo ya watu??

Usishangae ni kawaida ya mtu anayetafuta watu wa kumsaidia kuongoza nchi. Dunia hii kuna minyang'au ambayo ukijilegeza tu, unalawitiwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom