Mbona mi hata sikuona kama vimesitishwaVigezo na Masharti Kuzingatiwa, bila shaka tunarudia vile vifurushi vilivyositishwa awali...hongera kwa wadau wote kwa kulishughulikia hila suala😊View attachment 1891748
Mpka halotel Ina hio meseji ya Kwanza wamenitumia leoHello, Please be informed that we will review our bundles on 16/08/2021. Continue to enjoy quality services from Vodacom. Terms and Conditions apply.
Nipo Halotel hii imebaki tu pambo kwenye kimeo changu
Mkuu. Jiwe hakukosea alivyosema tutamkumbuka.Kufikia kesho Tozo kwenye miamala ya simu zina maliza mwezi 15/07-- 15/08,
Tuna imani wameshaona muelekeo wa mapato ile Average Transactions ya 2,700,000 kwa siku kwenye mtandao wa Tigo imeshuka sana na mingine as well, Rais Samia ile kamati uliyo unda mpaka sasa itakua na Majibu ni namna gani hizo Tozo zipunguzwe / ikiwezekana ziondolewe.
Na Desire je?Siku hizi nitakuwa natazama zangu Ertugrul tu na mama watoto. Simu nitaigusa kukumbusha wadeni wangu tu basi.
yani nchale nchaleniAcha tu, ukichimama nnchale, ukikaa nnchale, ukimeja nnchale, ukimumunya nnchale njomba.
Watoa huduma wameungana kututesa kinyume na taratibu za ushindani wa kibiashara . Serikali kimya !!!!Walikua wana tuskilizia tu
Hapa hata wakiweka Bei zile za ovyoo yani kama tunakomoana huyu Mama hatasema kitu
Usisahau KULFI