Vodacom kubadili vifurushi kuanzia jumatatu 16/08/2021

Nikajua tena wamerudia.
Kwako kupoje mkuu. Me naona wenge tu kwenye uni offer, saiz naona ata kile cha ya kwako tu wamenibadilishia. But cha kushangaza nilinunua saa kum kifurush cha buku iki niangalie mpira wa simba wakanipa 1.5 gb alafu dak 50 wiki moja ila wameandika ni kifurushi cha 5000.😀😀😀 Niliogopa nilipoona sms nikajua labda nilinunulia mpesa kumbe hapana😂😂😂
 
Back
Top Bottom