VodaCom Kimenuka..wafanyakazi mamia kupigwa chini muda wowote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VodaCom Kimenuka..wafanyakazi mamia kupigwa chini muda wowote

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mkonowapaka, Dec 7, 2011.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,477
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  nimesikia leo asubuhi
   
 2. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sasa akikuta umetundika hii post humu atakuelewaje?
  Marafiki kama ninyi sio kabisa! Wakati mwenzio ana matatizo kwenu ninyi ni furaha. Hata kama kaukwaa umeneja wa voucher ...naye si anaingiza kipato kinachomuwezesha kukidhi mahitaji?
   
 3. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 939
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Rafiki mnafiki....
   
 4. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mkono wa paka muda wowote unageuka kiganja cha chui
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu, rafiki yako kakupa nyeti ya hali halisi ya ajira yake kuwa mashakani matokeo yake umeamua kumfunga kengele
   
 6. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sasa furaha yako hapo ni nini??
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 25,969
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  roho ya paka
   
 8. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,373
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 160
  Kwa mtazamo wangu ni umasikini wa mawazo kufurahia matatizo ya mwenzako tena ambayo yako nje ya uwezo wake mathalani hili la kupunguzwa kazi. Watu wengi tunapungukiwa ufahamu wa wivu wa maendeleo ni kupambana kwa kipato halali kufanya maendeleo yenye tija. Kama una kesha na kuwaombea wenzako waporomoke utashangazwa na mambo ya Dunia hii jamaa anaweza kupata kazi nyingine bomba zaidi ya hiyo. Nawe ukabaki hapo hapo na mtima nyongo wako.
   
 9. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,101
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo Hardbody na A/C vilikukuwa vinakuumiza sana? Nyie ndio mnaliwa tigo kwa uroho wa pilau
   
 10. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,373
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 160
  By Kiranja Mkuu "Kwa hiyo Hardbody na A/C vilikukuwa vinakuumiza sana? Nyie ndio mnaliwa tigo kwa uroho wa pilau"

  Duh Mkuu ww ndo umeua kabisaaa no more comment.
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,712
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Duh!! Hizo ndio salamu za Rene Meza kwa wafanyakazi wa Vodacom?
   
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,407
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Mimi ni meneja wa kukwangua vocha jamani nitaenda wapi?
   
 13. Kifaranga

  Kifaranga Senior Member

  #13
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35

  Tupe Source mkuuu ....................
   
 14. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wabongo wanafiki!
   
 15. M

  Makupa JF-Expert Member

  #15
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,738
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Vodacom mtandao wenye wateja wengi kuliko mitandao mengine lakini unazidiwa na airtel kwa ulipaji kodi.
   
 16. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Anafanya restructuring na si KUPUNGUZA wafanyakazi weye khaaaaaa
   
 17. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #17
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,283
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  mkuu voda ni matangazo tu.shukrani iwaende ilmd vicoba yao iitwayo m-pesa ndo inalipa mishahara..mjini walishindwa rent pale ppf na bmtl victoria wakabanana mlimani city
   
 18. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,007
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  nawapa pole wapige kazi inaweze kuwa majungu tu
  hawawezi kupigwa chini wkt kuna mikataba walisaini
  sheria za kazi zitawalinda.kama ni notice lazima iwe kwa mujibu wa sheria na stahili watapewa
   
 19. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 4,032
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Kwa nini wanapigwa chini?Mbona hii thread ipo uchi.
   
 20. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #20
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Yaani anguko la wenzio kwako ni sherehe!? Mimi pia huwa ninawaonea wivu kwa achievements zao ila siwaombei mabaya yawakute bali huwa nina-fight kuwafikia walipo na hata kuwapita kabisa,chuki haijengi.
   
Loading...