stineriga
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 2,172
- 886
Kwa muda mrefu nilikuwa natumia zantel internet na ukweli haijawahi kuniangusha sana, huwa naweka cha 20,000/=
kuna kipindi nikaweka kile cha voda cha 20,000/= , spidi ni nzuri ila kuna wakati inakata hadi kero. nikarudi tu zantel nikaendelea kutumia kifurushi cha 20,000/= spidi nzuri na haikati kati kama voda inavyokata.
sasa wiki iliyopita nikaona ngoja niweke kifurushi cha voda kile cha 30,000/= ambacho ni unlimited , lakini toka nikiweke nimejuuuta, net inakata hata kwa dk 10, au kuna muda ninastuck kwenye authentication mpaka nirudierudie kukoneckt!!
nasema sitaweka tena kifurushi cha internet cha voda !