gasto genaro
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 780
- 554
Hi Wakuu,
Ni ukweli usiofichika kwamba, vodacom ndiyo kampuni ya simu nchini iliyotapakaa zaidi ya mingine
Vodacom imefika kila kona ya Tanzania.
Vodacom ndiyo kampuni ya simu isiyo na complications nyingi japo mapungufu pia yapo.
Vodacom kupitia vifurushi vyake maridadi, mpesa, na network imara imewarahishia watanzania hata wale wa kiwango cha chini kupata Mawasiliano.
Tukiachana na hayo, kuna hili jipya la vodacom kuuza hisa zake asilimia 25% sawa na hisa milioni 560 ambazo ni shilingi 476 Tsh billion
Pamoja na kuwa, makampuni yote ya simu yanapaswa kufanya hivyo, vodacom imeonesha kuwajali watanzania kwa kuwa ya kwanza kuanza kuuza hisa zake.
Vodacom ambayo ina wateja milioni 12 tz nzima, na wateja active wa Mpesa million 9, itaanza kuuza hisa zake tarehe 9 march 2017.
Hisa moja itakua ni Tsh 850/-, huku kiwango cha chini cha idadi ya hisa, ni hisa 100 sawa na Tsh 85000.
Kwa maelezo zaidi hingia hapa Vodacom Project Lima - About us au piga 0768988600.