VodaCom huu ujumbe wenu mnaotutumia kila muda, kila saa unakera sana

"Umefikia kikomo au umesitisha malipo ya kadri umavyotumia.

Tafadhali jiunge na bando lingine au ruhusu matumizi. Piga *149*01#>8 - Huduma Xtra> Matumizi Bila Bando."

Huu ujumbe wenu unakera mno. Yaani mnatuma ujumbe saa 7 z usiku mara saa 8 usiku mara saa 9 usiku mara saa 10 alfajiri yaani mpaka kero.

Mnazingua sana kwani mkituma mara moja mnakufa?

Meseji kila muda kila saa mtadhani mnatudai.
Ni kweli, Vodacom mnakera sana ndio maana nimewahama
 
Back
Top Bottom