Teacher1
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 333
- 149
Ni muda mrefu sasa mtandao wa huduma za M pesa zinasumbua sana nchini unaweza kutaka kutoa pesa kwa wakala utaambiwa network hakuna, ukitaka kujua salio sms haitokei na ukutaka kununua muda wa maongezi napo utakaa masaa ndipo huduma ikamilishwe. Hii nayo ni kero kama mmezidiwa fanyeni utaratibu wa kuboresha huduma zenu maana mkichafua jina ni vigumu kulisafisha msije mkawa kama huduma za utumaji wa fedha za posta