Vodacom: Huduma zenu za M pesa zinaboa

Teacher1

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
333
149
Ni muda mrefu sasa mtandao wa huduma za M pesa zinasumbua sana nchini unaweza kutaka kutoa pesa kwa wakala utaambiwa network hakuna, ukitaka kujua salio sms haitokei na ukutaka kununua muda wa maongezi napo utakaa masaa ndipo huduma ikamilishwe. Hii nayo ni kero kama mmezidiwa fanyeni utaratibu wa kuboresha huduma zenu maana mkichafua jina ni vigumu kulisafisha msije mkawa kama huduma za utumaji wa fedha za posta
 
inabore sana hasa sisi mawakala tunapata hasara mana mtu unamwegea then sms hairudi badae ela inaingia mtu kashaondoka na hela kaondoka nayo sjui tatizo nini wiki sasa inasumbua wanaboa sana aise
 
I never have had trust with M-Pesa operations,it's just like any other nightmares to me.
 
voda wanatumia fiber kwani? Zantel sawa airtel,tigo sawa fiber ilikata katesh ikaathiri mbeya mwanza arusha tunduma malawi rwanda burundi na toka juzi iko poa kabisa voda hawatumii fiber
 
na kama wanatumia fiber mbona simu ukipiga znaenda but mpesa ndo ikwame tu internet inapatikana iweje fiber ikate mpesa tu? Huduma zmewashinda bana ukiwauliza wenyewe mpesa hawajui nini tatizo inabore sana aise
 
Mambo yote Tigo Pesa gharama nafuu hakuna longolongo kama Voda gharama juu huduma mbovuuu!
 
Ni muda mrefu sasa mtandao wa huduma za M pesa zinasumbua sana nchini unaweza kutaka kutoa pesa kwa wakala utaambiwa network hakuna, ukitaka kujua salio sms haitokei na ukutaka kununua muda wa maongezi napo utakaa masaa ndipo huduma ikamilishwe. Hii nayo ni kero kama mmezidiwa fanyeni utaratibu wa kuboresha huduma zenu maana mkichafua jina ni vigumu kulisafisha msije mkawa kama huduma za utumaji wa fedha za posta

Kaka ni shida mpaka unajiuliza faida ya mtandao ni nini!
 
hivi hawa Mpesa na wenzao wamesajiliwa kama benki? Naulizia mambo yao ya kodi yapoje ni kama benki au namna gani na vipi kuhusu security ya pesa za wateja nani anaye control is central bank or who? Wanatozwa nini faida wanayopata au kuna fixed amount kwa mwaka kama kodi za mashirika mengine? Naomba kueleweshwa.
 
ule mkonga wa internet umekuwa damaged kati ya egypt na france ndo imeleta kwikwi zote hizi. system zilizokuwa affected ni Blackberry na mpesa so sioni km voda ni wa kulaumiwa sababu wamejitahidi kupata back up system ku support mpesa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom