VODACOM HUDUMA YA LUKU IMEKUAJE?

stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,226
5,145
Nasikitika saana na kampuni ya Vodacom kutokana na huduma za kutaka kununua LUKU.
Yaani kila unaponunua LUKU,majibu ya Token yatakuja baada ya lisaa zima au yasije kabxaa wakti huo huo Pesa yako ishakatwa katka Mpesa.mwisho wake utaona msg "TRANSACTION CANCELLED" Hio msg itakuja siku yapili yake au ya 3
 
Mbona Mimi nimenunua mida si mirefu luku na imetake 10 seconds you msg ya luku imefika na nishaweka umeme... Acha fix maybe unaishi eneo lenye network mbovu...

Rcpt MAXCO..EMDB3..0888..
Units **.**KWH

Token 1029 2167 1487 9486 6328

Cost TZS ****.**
Serv Charge TZS 0.00
Tax TZS ***.**
Total TZS ****
eSign
 
Voda mapoyoyo sana. Uwe unaniomba ushauri nakueleza mapema usichelewe kupata token zako
 
Duh leo kila mtu alilalama nikajaribu nami ikawa chenga till now sijapata jibu but nimeambiwa nipo kwenye foleni ati...
 
Mtandao Wa voda uko slow sana unaweza mtext MTU SAA mbili sms inafika SAA 8 naunga hoja mkono 100%
 
Back
Top Bottom