idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,312
Movie ya 1.5GB nimeishusha kwa dakika tano kwa simu
Simu yangu niliswichi 3G kwa mda mrefu sasa leo nikairudisha automatically 4G,3G, 2G ....nikaona imesoma LTE..nikajaribu kuingia YouTube nikashanga utelezi..
Nikaenda Showbox kutafuta movie, huwezi kuamini kabla dakika 5 hazijaisha movie imeisha