Vodacom Dodoma internet sufuri

pocha2

JF-Expert Member
Sep 23, 2014
890
396
Ukifuatilia matangazo yenu ya HAPA KASI TU utangundua kuna uongo mkubwa sana. Kwa karibu mwezi mzima na ushe hapa Dodoma Internet ipo slow mpaka kero na pia usiku wa simu ni shida. Yaani mtu unanunua GB 15 kwa mwezi lakini kwa jinsi net ilivyokuwa slow hata GB 2 haziishi na bundle linakuwa limeisha. Je huu si wizi wa mchana? Na kama kuna shida ya mtandao wa Internet kwanini hamtoi notification kwa wateja wenu!? Tunaomba hili lirekebishwe.
 
Ni jambo la Kudhagaza sana Voda Dodoma hawana 4G pia hata hiyo 3G inasumbua harafu wanajifanya imara
 
Wazee wa Hapa kasi tu kwa sasa mtandao mmoja ukizingua ni kuhama tu.
 
Lile bango lao la Vodacom Hapa kasi tu kuuuuuubwa karibu ya Bunge kumbe ni unafiki tu.hameni mtandao mambo ipo Halotel
 
TE="kiogwe, post: 16768876, member: 107936"]Lile bango lao la Vodacom Hapa kasi tu kuuuuuubwa karibu ya Bunge kumbe ni unafiki tu.hameni mtandao mambo ipo Halotel[/QUOTE]
Voda acheni kudanganya wateja wenu. Nimekaa Dodoma wiki moja sikuwahi kuiona kasi ya Internet yenu kama mnavyodai katika matangazo yenu. Ni aibu kwa kampuni kubwa kama yenu kudanganya ili tu mpate wateja ilhali hamna uwezo wa kutoa huduma hiyo.
 
Pole sana mkuu achana na VODACOM wanazingua sana maana Huduma zao mbovu kama nini
 
Lile bango lao la Vodacom Hapa kasi tu kuuuuuubwa karibu ya Bunge kumbe ni unafiki tu.hameni mtandao mambo ipo Halotel
Bango kuuuuubwa lakini network hovyo hata ukiwa katikati ya mji. Ukitoka kuelekea Mpunguzi, sijui Ihumwa au kile chuo pendwa cha vilaza hamna network kabisa.
 
Nimetoka huko vodacom juzi tu na kuhamia halotel.....napo ni hivyo hivyo lakini walau kidogo kuna uafadhali......
 
Ukifuatilia matangazo yenu ya HAPA KASI TU utangundua kuna uongo mkubwa sana. Kwa karibu mwezi mzima na ushe hapa Dodoma Internet ipo slow mpaka kero na pia usiku wa simu ni shida. Yaani mtu unanunua GB 15 kwa mwezi lakini kwa jinsi net ilivyokuwa slow hata GB 2 haziishi na bundle linakuwa limeisha. Je huu si wizi wa mchana? Na kama kuna shida ya mtandao wa Internet kwanini hamtoi notification kwa wateja wenu!? Tunaomba hili lirekebishwe.
Hamia halotel utafurahi na ROHO yako
 
a6bca780dc4d23b2333831dff9ba161d.jpg
 
Back
Top Bottom