pocha2
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 890
- 396
Ukifuatilia matangazo yenu ya HAPA KASI TU utangundua kuna uongo mkubwa sana. Kwa karibu mwezi mzima na ushe hapa Dodoma Internet ipo slow mpaka kero na pia usiku wa simu ni shida. Yaani mtu unanunua GB 15 kwa mwezi lakini kwa jinsi net ilivyokuwa slow hata GB 2 haziishi na bundle linakuwa limeisha. Je huu si wizi wa mchana? Na kama kuna shida ya mtandao wa Internet kwanini hamtoi notification kwa wateja wenu!? Tunaomba hili lirekebishwe.