VODACOM CEO HISHAM HENDI MUST GO TUNAIBIWA SANA BUNDLE

Selwa

Selwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Messages
488
Points
500
Selwa

Selwa

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2010
488 500
Aise me naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi? Au ni mimi mwenyewe? Siku ya leo zimeenda 10GB ndani ya lisaaa sijui zimeishaje...nimeenda mpaka vodashop yani hamna msaada, yani siku nikikaa vizuri hii kesi naipeleka mahakamani nina hamu za million 60 za kumfungulia mamaa duka la nguo maana imekuwa kero sana..
 
uttoh2002

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
4,276
Points
2,000
uttoh2002

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
4,276 2,000
Kosa lazima ni lako! Chunguza matumizi yako!
 
Clkey

Clkey

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Messages
4,848
Points
2,000
Clkey

Clkey

JF-Expert Member
Joined May 29, 2014
4,848 2,000
Niliachana na hao washikaj kwa matumizi ya internet sabab hiyo nkaamua kuhamia Ttcl na Halotel waizi wakubwa aiseeee
 
Sigara Kali

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Messages
2,724
Points
2,000
Sigara Kali

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined May 28, 2017
2,724 2,000
Voda wasenge sana hata Dk wanazikata ovyo ovyo,nawakubali Airtel wanakula Mb taratibu mno ila internet yao sometimes ni mwendo wa Kobe,halotel nao wana speed nzuri ila wanakata mb kifala fala sana ,tigo sina hamu kabisa
 
Selwa

Selwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Messages
488
Points
500
Selwa

Selwa

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2010
488 500
yani hi mitandao ya simu inabidi tuipeleke mahakamani sasa
Voda wasenge sana hata Dk wanazikata ovyo ovyo,nawakubali Airtel wanakula Mb taratibu mno ila internet yao sometimes ni mwendo wa Kobe,halotel nao wana speed nzuri ila wanakata mb kifala fala sana ,tigo sina hamu kabisa
 
M

Mzee Mukaruka

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Messages
558
Points
250
M

Mzee Mukaruka

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2012
558 250
Aise me naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi? Au ni mimi mwenyewe? Siku ya leo zimeenda 10GB ndani ya lisaaa sijui zimeishaje...nimeenda mpaka vodashop yani hamna msaada, yani siku nikikaa vizuri hii kesi naipeleka mahakamani nina hamu za million 60 za kumfungulia mamaa duka la nguo maana imekuwa kero sana..
Wajulishe na TCRA
 
Forum statistics

Threads 1,335,211
Members 512,271
Posts 32,499,229
Top