The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,448
- 17,147
Kwenye report ya hesabu ya robo ya tatu ya Vodacom wamekiri kua mwanzoni mwa mwaka hali ilikua nzuri ila baada ya ujio wa tozo, wateja wa MPESA zaidi ya milioni 1.3 wameacha kabisa kutumia huduma za kutuma na kupokea simu ama MPESA hivyo kupelekea kushuka kwa matumizi na mapato kwa 13.9%.
Soma screen shot ya taarifa yao kamili.
Soma screen shot ya taarifa yao kamili.