Vodacom: Baada ya ujio wa Tozo, mapato ya MPESA yameshuka kwa 13.9%

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,436
17,080
Kwenye report ya hesabu ya robo ya tatu ya Vodacom wamekiri kua mwanzoni mwa mwaka hali ilikua nzuri ila baada ya ujio wa tozo, wateja wa MPESA zaidi ya milioni 1.3 wameacha kabisa kutumia huduma za kutuma na kupokea simu ama MPESA hivyo kupelekea kushuka kwa matumizi na mapato kwa 13.9%.

Soma screen shot ya taarifa yao kamili.
20211112_194519.jpg
 
View attachment 2008198
Hapo bado mitandao yoote watajua kuwa wanyonge wakiamua inawezekana
 
Kwenye report ya hesabu ya robo ya tatu ya Vodacom wamekiri kua mwanzoni mwa mwaka hali ilikua nzuri ila baada ya ujio wa tozo, wateja wa MPESA zaidi ya milioni 1.3 wameacha kabisa kutumia huduma za kutuma na kupokea simu ama MPESA hivyo kupelekea kushuka kwa matumizi na mapato kwa 13.9%.

Soma screen shot ya taarifa yao kamili.
View attachment 2008198
Wafunge kabisa ili tujue walifilisika sababu ya tozo wamewaibia sana wananchi vifurushi!
 
Personally!!!!

Sikumbuki lini nimetumia huduma za pesa za kwenye simu hata wakisawazisha bado sitarudi tena ktk mfumo huo.
 
Back
Top Bottom