Imagine transaction zinazofika 6.5 trillion kwa mwezi huu mtandao mmoja tu halafu mwigulu anasema serikali imekusanya 50 billion tu kwa tozo za miamala?Kwenye report ya hesabu ya robo ya tatu ya Vodacom wamekiri kua mwanzoni mwa mwaka hali ilikua nzuri ila baada ya ujio wa tozo, wateja wa MPESA zaidi ya milioni 1.3 wameacha kabisa kutumia huduma za kutuma na kupokea simu ama MPESA hivyo kupelekea kushuka kwa matumizi na mapato kwa 13.9%.
Soma screen shot ya taarifa yao kamili.
View attachment 2008198
Shukrani zote zimwendee Mama kwa kuupiga mwingi!Kwenye report ya hesabu ya robo ya tatu ya Vodacom wamekiri kua mwanzoni mwa mwaka hali ilikua nzuri ila baada ya ujio wa tozo, wateja wa MPESA zaidi ya milioni 1.3 wameacha kabisa kutumia huduma za kutuma na kupokea simu ama MPESA hivyo kupelekea kushuka kwa matumizi na mapato kwa 13.9%.
Soma screen shot ya taarifa yao kamili.
View attachment 2008198
Inawezekana . Mfano mimi nikimtumia mtu milioni 1 na yeye akaenda kuitoa hiyo Milioni 1. Hizo tayari ni transaction mbili lakini pesa ni ile ile moja. Ingawa transaction ni za milioni mbili.Imagine transaction zinazofika 6.5 trillion kwa mwezi huu mtandao mmoja tu halafu mwigulu anasema serikali imekusanya 50 billion tu kwa tozo za miamala?
Tuchukue wastani wa 1000 tu kwa kila muamala tuone jibu ni sh.ngapi?
1000*6,500,000,000,000=
Hii miamala tunapigwa sana!
Sawa ila we ukituma unakatwa hela na yeye anakatwa hela unless umpe wakala amuwekelee direct!Inawezekana . Mfano mimi nikimtumia mtu milioni 1 na yeye akaenda kuitoa hiyo Milioni 1. Hizo tayari ni transaction mbili lakini pesa ni ile ile moja. Ingawa transaction ni za milioni mbili.
Safi Sana eti wanajisifu wamekusanya mabiolioni ya tozo watu wameshajua kwa sasa hawafanyi miamala serikali ya kijinga Sana hiiKwenye report ya hesabu ya robo ya tatu ya Vodacom wamekiri kua mwanzoni mwa mwaka hali ilikua nzuri ila baada ya ujio wa tozo, wateja wa MPESA zaidi ya milioni 1.3 wameacha kabisa kutumia huduma za kutuma na kupokea simu ama MPESA hivyo kupelekea kushuka kwa matumizi na mapato kwa 13.9%.
Soma screen shot ya taarifa yao kamili.
View attachment 2008198
Kaneni maana ndio serikali yenu unataka mfanye.Mnataka vijana tukale wapi
TutawashughulkiaKaneni maana ndio serikali yenu unataka mfanye.