Vodacom acheni Upumbavu!

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,423
29,084
Hivi hakuna mwakilishi wa Vodacom au TCRA humu barazani?
Au japo mfanyakazi tu wao afikishe malalamiko yanayotolewaga hapa?
Mbona tunaibiana mchana kweupe?
TCRA mko wapi lakini?
Mmehongwa Tshs ngapi kiasi cha kutoelewa?
Tusemeje Voda muelewe?
Au ndio mnarudisha hela mliokodia Chopa ya Igunga?
Nimwekeka alfu ili niongee na mtu juu ya kumtumia M-Pesa, kushtuka 550/ ishakatwa eti kwa ajili ya kuambiwa "sishikiki", ni nini hiki?
Karibia kila siku naandika msg ya kuitoa kwenye hii promo feki, mbona hamnielewi?
Nishapiga mara kibao customer care kuwafamisha kua sitaki hii huduma, mbona hawanitoi?
Potelea mbali, huu sasa ni Usenge uliopitiliza huu!!!
 
Lakini wanajitahidi kudhamini ligi yetu

Kudhamini Ligi kwa kuwaibia wateja?
Hii ni mara ya pili nalalamika hapa, hivi hakuna mwakilishi wao?
Kila nikipiga customer care wananijibu watanitoa, mbona bado natumiwa?
Wadau nisaidieni nini natakiwa nifanye,
Maana naona hasira zinaanza ku-control ubongo ambapo si sahihi!!
 
Nenda physically ofisini kwao kawapige bit!
Ulimwengu wa kibepari TCRA washawekwa mfukoni kama viongozi wetu kwa migodi ya dhahabu.
Ukikenua tuu wanakupa mlungula unakaa kimya!
 
Mkuu, jibu hilo lisms lao la "hushikiki" kwa ju-reply TOA uataondokana na hilo CHUMA ULETE.

Mimi walinitesaga sana, sina hamu kabisa!
 
Mkuu, jibu hilo lisms lao la "hushikiki" kwa ju-reply TOA uataondokana na hilo CHUMA ULETE.

Mimi walinitesaga sana, sina hamu kabisa!

Mkuu,
Nishatuma TOA,
ONDOA,
ONDOKA,
CANCEL,
TOKA,
STOP n.k.
Mpaka matusi nishatuma ili wanipigie wao niwape ukweli lakini wapi!!
 
Usimdanganye mwenzio. Mimi niliandika toa, wakanitoa kwa wiki moja tu baadae wakanilirudisha kwenye upupu wao. Nikaandika tena toa sikutolewa mpaka nikaitupa line. wasipoangalia watapoteza wateja wengi kwa wizi na ujinga huu
 
andika neno ulilotuma acha nafasi andika zima then tuma kwene namba inayokutumia
 
Ndio zile milioni 11 za kila siku na lcd tv za samsung zinatoka huko. Vumilia tu ipo siku utashinda!
 
Hivi hakuna mwakilishi wa Vodacom au TCRA humu barazani?
Au japo mfanyakazi tu wao afikishe malalamiko yanayotolewaga hapa?
Mbona tunaibiana mchana kweupe?
TCRA mko wapi lakini?
Mmehongwa Tshs ngapi kiasi cha kutoelewa?
Tusemeje Voda muelewe?
Au ndio mnarudisha hela mliokodia Chopa ya Igunga?
Nimwekeka alfu ili niongee na mtu juu ya kumtumia M-Pesa, kushtuka 550/ ishakatwa eti kwa ajili ya kuambiwa "sishikiki", ni nini hiki?
Karibia kila siku naandika msg ya kuitoa kwenye hii promo feki, mbona hamnielewi?
Nishapiga mara kibao customer care kuwafamisha kua sitaki hii huduma, mbona hawanitoi?
Potelea mbali, huu sasa ni Usenge uliopitiliza huu!!!

Mpe taarifa Miss Tanzania 2011.
 
hivi vipromo vya kijinga huwa sivifagilii hata kidogo yani, sitaki kabisa kuzisikia na sichezi bahati na sibu zao hata kidogo
 
Kudhamini Ligi kwa kuwaibia wateja?
Hii ni mara ya pili nalalamika hapa, hivi hakuna mwakilishi wao?
Kila nikipiga customer care wananijibu watanitoa, mbona bado natumiwa?
Wadau nisaidieni nini natakiwa nifanye,
Maana naona hasira zinaanza ku-control ubongo ambapo si sahihi!!

hamia Airtel
 
Mkuu,
Nishatuma TOA,
ONDOA,
ONDOKA,
CANCEL,
TOKA,
STOP n.k.
Mpaka matusi nishatuma ili wanipigie wao niwape ukweli lakini wapi!!

Hahaha! umenifurahisha mkuu, nakumbuka kuna siku nilijibu sms ya tIGO zile za promosheni (sent from 100)...acheni useng8'...nkastuja nimejibiwa: 'UKIMALIZA ISOMA IDELITI BASI' nkatupa line palepale.
 
Ndo upuuzi wa hii mitandao, yaani hawachoki kutuibia kwa pesa za maongezi, waibukie ofisini kwao au wakala wao inaweza kusaidia hata hivyo, michezo hii tunayoingia ni michezo ya kijuha
 
Juzi kulikuwa na thread ya Tigo, leo Voda keshokutwa labda Airtel. Something must be wrong somewhere. Sijaelewa inakuwaje mtu anakuwa subscribed automatically kwneye kitu ambacho hakitaki. Or are we pressing the wrong bottons?
 
Nililetewa kitu kama Quiz flan hivi,
Ikiwa na maswali rahisi tu kama kumi hivi.
Kuanzia siku hiyo nikaanza kukatwa Tshs 550/ yao na kutumiwa meseji kua "sishikiki",
Kuona hivyo kila nikituma msg ya kujitoa wananijibu kua watanitoa na sintopokea tena msg ya promo.
Nahisi hii promo imefunga ndoa ya kikristo na line yangu,
Maana nimejaribu njia mbalimbali imeshindikana.
Naogopa sana kwenda kuonana nao face to face kwakua najijua hasira zangu zilivyo juu ya hawa washenzi, nitakaemkuta pale anaweza kuwa "jumba bovu" kwa wenzake na nina familia inanitegemea!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom