Voda Tanzania na huduma kwa wateja mbovu kuliko zote

Kuchwizzy

JF-Expert Member
Oct 1, 2019
1,072
2,307
Hii siku ya tatu nahangaika mtandaoni niweze kuongea tu na mtoa huduma kuhusu tatizo nililopata kwenye account yangu ya Mpesa.

Sijafanikiwa mpaka mda huu zaidi ya kujibiwa na kutumiwa Default messages na Ku chat na Bots.
 
Hivi kwani hii Voda bado wana huduma ya mteja kuongea na mhudumu? Siwaelewi hata Mimi nimejaribu kuwatafuta bila mafanikio
 
Wanazingua hao Vodacom, kati ya jambo lililonikatisha tamaa ni issue ya huduma kwa wateja wapo zero 'O' wameficha direct line il8 kuepusha usumbufu kwa staff wao wakati wanawalipa mshahara.

Kama una majukumu mengi na jambo lililokufanya kutaka kuongea nao, basi utakata tamaa na kupoteza haki yako.

Vodacom foos!!
 
Mkuu watumie msg whatsapp 0754100100. Wanajibu fasta na wanakupigia na simunkbs ikibidi
 
Hii siku ya tatu nahangaika mtandaoni niweze kuongea tu na mtoa huduma kuhusu tatizo nililopata kwenye account yangu ya Mpesa


Sijafanikiwa mpaka mda huu zaidi ya kujibiwa na kutumiwa Default messages na Ku chat na Bots
Nilishawahi kuuliza kuhusu kuongea na mtoa huduma,nilichojibiwa ni kuwa siku hizi kila kitu mteja anajihudumia mwenyewe
 
Back
Top Bottom