Vocha za kurusha za Airtel; Je, nawezaje kujiunga na hio hudumu kwa line yangu ya Airtel ya kawaida?

Jiunge na hiyo Mobistock mkuu...tupo tu tunafanya biashara kama kawaida,pia unaweza pia kufanya miamala ya manunuzi ya vinga'amuzi...
 
nifahamishe namna ya kujiunga
Nenda ofisi za voda watakusaidia au la kuna mawakala hua wanafanya hivyoo unaweza kutafuta mmojawapo akakusaidia kuwapata nenda ofisi za voda hasa asubuhi utawakuta .
 
Nenda ofisi za voda watakusaidia au la kuna mawakala hua wanafanya hivyoo unaweza kutafuta mmojawapo akakusaidia kuwapata nenda ofisi za voda hasa asubuhi utawakuta .
Garama zake mkuu?
 
Pole kwa kuchelewa ila n bure kabisaaa unless huyo wakala akufanyie makusudi tu
 
Back
Top Bottom