VOA: Huenda Lowassa akashinda Uchaguzi Mkuu Tanzania

amilyroley

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
621
1,199
Shirika la habari la Marekani la Voice Of America VOA kupitia kipindi chake cha Straight Talk to Africa limesema Mgombea wa UKAWA ndugu Edward Lowassa atashinda uchaguzi mkuu Tanzania kupitia tafiti zao za kitaalamu walizozifanya. Walikuwa katika kipindi cha saa moja ya uchambuzi wa uchaguzi wa Tanzania
 
Attachments

  • 1445590367806.jpg
    1445590367806.jpg
    24.4 KB · Views: 5,406
Cheki vijana wa kazi wanavyopambana sio kubakia kulalamika

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Tegeta waliojitokeza kumpokea wakati akielekea kwenye mkutano wa kampeni wa jimbo la Kawe uliofanyika viwanja vya Bunju.

Shirika la habari la Marekani la Voice Of America VOA kupitia kipindi chake cha Straight Talk to Africa limesema Mgombea wa UKAWA ndugu Edward Lowassa atashinda uchaguzi mkuu Tanzania kupitia tafiti zao za kitaalamu walizozifanya. Walikuwa katika kipindi cha saa moja ya uchambuzi wa uchaguzi wa Tanzania

Weka hewani hiyo tafiti ambayo wamefanya.
 
Shirika la habari la Marekani la Voice Of America VOA kupitia kipindi chake cha Straight Talk to Africa limesema Mgombea wa UKAWA ndugu Edward Lowassa atashinda uchaguzi mkuu Tanzania kupitia tafiti zao za kitaalamu walizozifanya. Walikuwa katika kipindi cha saa moja ya uchambuzi wa uchaguzi wa Tanzania

Ni kweli Lowassa atashinda.
[1] LOWASSA atashinda kwa 53%
[2] DK. Shein atashinda kwa 51%
Ushindi wa Lowassa ni ushindi wa Maalim Seif. SMZ haitofurahia ushindi wa Lowassa, kwani serikali ya Muungano itaichachamalia serikali ya Unguja kwa shinikizo la Maalim na Wana-SMZ wataona ile nia ya kuwa na Muungano ili walindwe haipo tena.
 
Back
Top Bottom