VKP INVESTMENTS -MLIONUNUA VIWANJA MAJANGA

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
9,866
8,886
Tunaponunua Viwanja tuweni makini saana.
Angalia clip hapa chini
VKP na uongozi wao wafikishwa mahakami.
Na humu Jamii forum walijitangaza sana na kule FB.

Na wamechokifanya baada ya kushtukia mchezo kuna vikampuni vingine vingi sana vimeibuliwa vya kuuza viwanja kama njugu,ila mjue ni kundi kubwa na walijipanga kimkakati,likitibuka huku upande mwengine wanapiga hela

Clip hapo chini,mkahakiki viwanja mlionunua kwa utitiri wa vikampuni
MAELEZO ZAIDI YA LIST YA BAADHI WALIOTOA FEDHA IPO KWENYE YOU TUBE YA GLOBAL Page ya maelezo

So usiwatishie watu, yapo maeneo yao mengi tu wameuzia watu kihalali kabisa na watu washajenga wanaishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi sitishi watu,ila kuhabarishana muhim.Uhalali hauzuii uharam.
list ya baadhi yawateja wao ipo wazi na majina yapo

Sasa watu wasichukue tahadhari eti kisa kuna watu waliuziwa na wameishajenga?
Fuatilia vizuri hizi kampuni zimezoibuka za kuuza viwanja au angalia brela leseni walizoomba,wengi ni tofauti na walichoombea

Real Estate Agency,leseni yake sio nyepesi kihivyo.Ila vikampuni telee,ukienda wizara ya Ardhi ambapo ndio leseni inapitia kampuni kibao hazimo
Fuatilia kilichotokea Dodoma utanielewa
 
Nakupata mkuu, so hao wateja ni kwamba wametoa hela lakn hawajaoneshwa viwanja au wameuziwa maeneo ya watu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mm pia waliniingiza mkenge....nasikia kesi mahakamani....lakini sijui hata pakuanzia...waliniuzia shamba fukayose bagamoyo
Mahakama gani nikaulize,
Na mm fukayosi huko huko,
Kuna kipindi walisema ofc iko gongo la mboto nimeenda nikaambiwa walishafunga, sijui jamaa alienda eti mbeya, naskia wanaoenda pale kuulizia ni wengi sana

Yani nimekoma kununua plot kwa style tuliyoitumia
Roho inauma hela zangu
 
Mlitumia style gani kununua hivo viwanja
 
Mahakama gani nikaulize,
Na mm fukayosi huko huko,
Kuna kipindi walisema ofc iko gongo la mboto nimeenda nikaambiwa walishafunga, sijui jamaa alienda eti mbeya, naskia wanaoenda pale kuulizia ni wengi sana

Yani nimekoma kununua plot kwa style tuliyoitumia
Roho inauma hela zangu
[/QUOTNasikia kigezo Cha kwanza ili uingie kwenye kesi...ni lazima ukaonyeshe shamba ulilionunua sehemu lilipo.....kigezo hicho mm nimeshidwa..,. wakati nanunua sikuwa na muda... nilituma mwakilishi....ambaye nae hapakumbuki vizuri.
 
Hahaha mm nilienda kabisaa ila sipakumbuki vzr, labda kuwatafuta wafanyakazi walionipeleka ingawa nao hawataki kabisa hizi habari
 
Back
Top Bottom