VIZULIA RANGI/PAINT COATINGS na WRAPS

Styvo254

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
246
226
Habari za masiku wanaJF! Ni mda mrefu kweli sijaskika hapa, nimekua "sabbatical" yaani likizo ya kujiongeza. Mda huu umekua wa faida sana kwangu kw kua nimepata masomo kuhusu sekta mbalimbali za kiufundi. Ni furaha kwangu kuwafaidi wengine pia kw kua hapo ndio pana maana kw kujiongeza.

Leo ntawaguzia kidogo kuhusu paint coatings au vizulia rangi. Hizi ni kemikali na mafuta mbali mbali yanayopakwa kw rangi ya gari ili kuipa kinga dhidi ya maafa kama vile kunasa vumbi, kudidimia, weusi tokana na hewa chafu (oxidation) n.k.

Kuna polish na wax ambazo ni za mda kweli kw soko. Hizi hua na ufuta unao zuia rangi. Hufaidi sana katika kuzuia maji na vumbi pale zitumiwapo vizuri. Maafa yake ni kudidimia kw haraka hasa kw kua kali, upakaji wake usipofatiliwa vizuri uharibu rangi n.k.

Ceramic na Nano coatings ni teknolojia za kisasa na za hali ya juu kuliko wax au polish. Hazina ufuta na hutumika kw mda mrefu kabla ya kudidimia. Faida nyingine ni kuzuia mikwaruzo midogo kama ile ya kuegemewa au kupanguswa kw kitambara kichafu. Gari pia hungaa zaidi na kw mda mrefu kw kua bidhaa hii ina viungo maalum vya kuongeza kungaa.

Kuna poly-wraps ambazo ni karatasi spesheli za nylon zinazovishwa kw body na kuzuia maafa. Hizi hua na faida ya kinga ya hali ya juu kw kua ni nzito kiasi.

Kwa huduma hii ya paint protection wasiliani nami kw inbox kw maelezo na taarifa zaidi.
 
Picha
 
Back
Top Bottom