Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kinondoni Mabwepande

#Repost @msomirealestatebrokersltd with @make_repost
・・・
KIWANJA KINAUZWA

LOCATION
Kigamboni gezaulole
Mtaa wa mnarani

UMBALI
Kilomita 13 kutoka ferry
Kilomita 1 kutoka barabara ya lami

HUDUMA ZA KIJAMII
Maji ya dawasco
Umeme upo

UKUBWA
Sqm1396 (40 kwa 35)
Robo ekari na kidogo
NYARAKA.
Hati miliki ya kisheria ipo

BEI
Tsh milion 50 tu
Unaweza kulipa kidogo kdogo
Unaanza 50% ndani ya miezi minne

Calls&whatsapp
0672826826
0744336336
Email: info@dalalimsomi.co.tz

7DC6F0E2-6E3A-45FE-B3DB-0C0E71D18427.jpg

75AD78F2-214B-47E8-A90F-73B2BF21C665.jpg

E700A7CD-DA25-4356-9532-B5369652E89D.jpg

97B5EFC2-69CD-4B5F-ACEE-0735D31029D3.jpg

A6319FDC-0696-4AE5-A195-58221EC2459C.jpg

457DCDE9-FC2B-4DAF-AF5D-A734B6414444.jpg

D9C1186D-AEDD-4490-83C7-E63F9ECCE414.jpg

821A2069-9F2F-42F7-B321-B67E14C8B52D.jpg

7DC6F0E2-6E3A-45FE-B3DB-0C0E71D18427.jpg
 
Baadhi ya wateja wamekuwa wakihisi labda kimbiji ni mbali ndio maana tunauza bei nafuu viwanja vya kigamboni kimbiji ambavyo vimepimwa na baadhi ya wateja tayari wana hati miliki.

MAJIBU.
Kimbiji sio mbali kama baadhi ya wateja wanavyohisi.

Umbali wa kutoka kimbiji mpaka fery ni kilomita 30 umbali ambao ni sawa na kutoka posta mpaka mbweni au umbali wa kutoka posta mpaka bunju na huku ni mbali zaidi kuliko kimbiji.

Hivyo kimbiji ni sehemu nzuri inayokuwa kwa kasi sana. Pia ukiwa site unaiona bahari ya hindi. Umeme tayari umefika site. Na baadhi ya wateja tayari wameanza kujenga.

SIFA ZA MRADI.
Viwanja vimepimwa na vinauzwa milion 3 tu kwa sqm500 na malipo ni kidogo kidogo ndani ya miezi 6.

Kwa nini vinauzwa bei nafuu?

JIBU.
Bei elekezi ni Tsh 14,000 kwa sqm 1 hivyo kiwanja cha sqm 500 ilitakiwa kuuza milion 7 LAKINI SISI TUNAUZA MILION 3 tu ili kila mtu mwenye nia aweze kununua.

ANGALIZO.
Kwa bei hii hatutoi hati miliki ila utachangia Tsh 500,000 kwa ajili ya maandalizi ya hati ya kiwanja chako.

Kwa maelezo zaidi Dm au
Calls&whatsapp
0744336336
0672826826
Email:info@dalalimsomi.co.tz
Follow instagram: @dalalimsomitz
Follow twiter/@msomidalali


View attachment 1751932
View attachment 1751933
View attachment 1751934
View attachment 1751935
Duh so Buyuni ni mbali kuliko kimbiji
 
VIWANJA VINAUZWA KIGAMBONI
KIMBIJI PROJECT PHASE VII

MAELEZO
Ni mradi wa viwanja vilivyopangwa na kupimwa vizuri.

UKUBWA
Kuanzia sqm 500

LOCATION
Kigamboni kimbiji
(Mtaa wa golani, nyuma ya jengo la serikali ya mtaa)

UMBALI
Kilomita 30 kutoka ferry
Kilomita 2 kutoka bahari ya hindi
Mita 100 kutoka barabara ya mwasonga inayokwenda kibada.

HUDUMA ZA KIJAMII
Maji na umeme vipo

DOCUMENTS
Ukimaliza kulipa unatengenezewa hati miliki(title deed)

MALIPO
Tsh milion 3 tu
(Unalipa kidogo kidogo ndani ya miezi 6)

MKATABA
Utapewa mkataba wa mwanasheria pamoja na barua ya utambulisho kutoka serikali za mtaa.

Kwa maelekezo zaidi na kufika site
Dm au
Calls&whatsapp
0766200818
0621423298
Email: info@dalalimsomi.co.tz
Website: www.dalalimsomi.co.tz
Instagram @mrviwanjatz
Facebook,msukwa Viwanja
Au fika ofisini kwetu katika jengo la SAVEI PLAZA groundfloor,lufungira ,Mwenge nyuma ya calabash pub
7825e8df-acd4-4b00-abd4-e7e529e17ecd.jpg

4bb60d93-cf91-4371-a725-1c5762d943a2.jpg

62e8f6ec-d02b-4ac8-8ed9-f8e4eb8c1742.jpg

216e33fb-6e94-4aea-a639-28441f96cc2e.jpg

83ed89d9-7ddb-4592-9d3a-a60f1a26d565.jpg

dc4719d4-b37b-4445-bc42-6aded009f135.jpg

313c2c0e-9c05-4b0b-bb51-59f903c28abf.jpg

3897d1ab-a690-4a51-b08f-a34a5bac60d1.jpg

609ad285-82af-4be1-8377-727d4de62371.jpg
 
Swali fikirishi. Kwanini katika maeneo mapya yenye ardhi ya kutosha kama huko Kimbiji Kigamboni bado mnapima viwanja vya 500sqm? Hamuoni kama huo ni uharibifu kwa kupanga miji yenye makazi ya kubanana na kutoachiana nafasi?

Ni ushauri tu ikiwezekana katika maeneo yenye ardhi ya kutosha basi angalau mngeanza kupima kuanzia 800sqm(27*27)
 
Kuna sehem vimepimwa Sqm 500 ilaah kuna eneo jingine kama unaelekea kigamboni buyuni huko pia vipo vy sqm 800
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom