VIWANJA VYA UHAKIKA(MADALE & BUNJU MPAKANI) 4M-8M KARIBU!!

J Mbungi

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
242
225
Karibu wapendwa, wanao tafuta makaazi.

Tulianza kuuza viwanja hivi tangu mwaka jana(Tulikuwa na Plot zaidi ya 120, katika maeneo 2 tofauti( Bunju mpakani-Ukivuka tu daraja la Mingoi, upande wa kulshoto kama unaenda Bagamoyo, mtaa unaitwa kimere, unatizamana na Bunju B ukitenganishwa na hilo Bonde la mto Mingoi.

Kwasasa ndio tunamalizia, Kimere vimebaki viwanja soi zaidi ya 4, 2vikiwa ni 24X40 (milioni8) na 20X20M (milioni4)

Kwa Plot ya Madale(Hapa ni madale kwa Kawawa, ukipita kidogo tu.. Hapa tunavyo kama 15 vilivyosalia kati ya 70 tulivyokuwa navyo.) Hapa tunavyo vya milioni6,7, na 8 (Kuanzia 15X20, 20X20, na 25X20)


NOTE: Wapo watu wengi tulio wauzia na wapo hapa hapa JF, wakiuona uzi huu watakusaidia wewe unayetaka kununua kujua habari zetu na uhakika wa viwanja vyetu.

Kukumbusha, viwanja vyetu vimegawanywa kisayansi(Kila mtu anaingia na kutoka kwakwe kwa gari lake kama analo(Maana kuna barabara za moja kwa moja zinazoteganisha plot hizi)..PIA MAENEO HAYA YAMERASIMISHWA NA ARDHI KAMA MAKAAZI NA RECORD ZIPO ARDHI..Utapata Fursa ya Kujiridhisha kuhusu hili.


KARIBU UJIONEE NA UFANYE MAAMUZI SAHIHI.( wasiliana na mimi +255 762 466 293 MR MBUNGI)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom